Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Aliteuliwa na raisi wa hovyo mpenda sifa bwana John magufuliIGP Sirro ni Kati ya ma-IGP wa hovyo Sana kuwahi kutokea Tanzania. Tulijua wa mwisho atakuwa mahita Ila siro kaharibu mno.
Tuanze kukusanya ushahidi ili akistahafu mwaka 2022 asafishwe na mahakama.
Siro ni doa ndani ya serikali.