Makosa ya kiufundi kumpindua Rais wa DRC ni haya

Nitaandika haraka haraka kama mtu niliwahi soma kitabu maalumu kwa ajili ya kufanya mapinduzi ya nchi kilichoandikwa C.I.A chini ya mwandishi edward luttwak kwa jina practical handbook for coup detat kitabu hii cha mwaka 1968 ndo huwa kina somo ili kufanya mapinduzi yafanikiwe kilipigwa marufuku nchi mbalimbali maana ukisoma hii ukaelewa vizur raisi unamtoa mchana kweupe bila usumbufu wa damu kumwagika

Turudi congo kwenye jaribu la kumtoa rais congo jana na bwana malanga raia marekani na congo alikuwa kiongozi yeye pamoja na mtoto wake ameonesha dhahiri hana elimu ya kutosha kuhusu mapinduzi ya kijeshi makosa aliyo fanya ni haya

1. Aliteka bunge
Bwana malanga jana kafanya kosa kuteka bunge ambako sio center ya power ya congo hili ndo kosa kubwa bwana malanga alifanya ndo maana hakufanikiwa bunge kwenye mapinduzi ya kijeshi sio issue labda angeteka bunge likiwa bado lina wabunge ndani na kuwafanya wabunge wampige kura ya kutoa rais lakina bado angeshindwa pia .. hadi sasa sikuona umuhimu wa kuteka bunge

2. Hakujua rais yuko wapi
Bwana malanga alikosea kujua rais ya congo Felix Tshisekedi unapofanya mapinduzi ya kijeshi lazima ujue rais yuko wapi na best time huwa rais akiwa nje ya nchi yaani unampokoja uraisi akiwa huko huko nje ya nchi mfano iddi amini na obbote, john okello pia alijua sultan yuko ikulu so twende huko huko sultani wa znz akakimbia bwana malanga wa congo hili hakujua raisi yuko wapi....yaani lazima ujue raisi yuko wapi rais ndo center of power

Hata hapo bongo moja ya jambo lililowatatiza sana wafanya mapinduzi wa 1964 walishindwa kujua rais yuko kumbe nyerere alikimbilia kigamboni mji mwema huko kwenye nyumba ya raia wa kawaida akitwa mzee sultan kizwezwe nyumba ya makuti tu akawa ana toa order za kijeshi na nchi kutoka kigamboni mji mwema ila wangejua yupo kigamboni shughuli ilikuwa imeisha rais wa nchi wakati ule angekuwa bwana elisha kavana maana ndo aliongoza mapinduzi ya 1964

3. Radio/tv ya taifa na kiwanja cha ndege
Bwana malanga aliteka bunge akasahau radio ya taifa kiwanja kikuuu cha ndege ili kuifunga nchi kwa muda kisha kutangaza yeye ndo raisi kupitia radio ya taifa na tv pia kuwapa taarifa askari wote watulie kuwa kila kitu kipo under control, badala yake yeye akiwa bungeni congo bwana malanga akatumia facebook kutangaza mapinduzi mjinga

4. Kutokuwa na mawasiliano na wakuu wa kambi za kijeshi hasa makanali
Wakuu wa kambi za kijeshi huwa mara nyingi ndo wanapokea order za kijeshi kutoka wakubwa wa kijeshi kama mabrigedia na majenerali kutoa wana jeshi na silaa ziende eneo fulani mara nyingi huwa ndo wahusika wakuu wa kambi husika, sasa bwana malanga ilibidi apate mawasiliano na hawa watu na kuwarubuni kuwa akifanya mapinduzi atawapandisha vyeo na kula mema ya nchi endapo watakaa order kutoka kwa wakubwa zao, hapo ilibidi hadi macaptain na acheze nao hasa wa kambi za jiran ambapo mapinduzi yanafanyika.

Sasa yeye kaanda kama kichaaa bila kuwa na connection na watu ndani ya jeshi la congo hasa wakubwa wa kambi na macaptain mbali mbali

Njia hii aliitumia gadafi kumpindua yule mfalme mwaka 1967 order za kijeshi makambini zilifika wakuu wa kambi wakagoma kutoa silaa wala wanajeshi

5. Confusion barriers...vikwanzo uzushi barabarani ....
Pia alikosea kuweka Confusion ilibidi askari wake wote wavae nguo za jeshi la congo kisha kuweka barriers mbali mbali za kijeshi ili misafara ya kijeshi ikifika hapo kweye barriers inasimamishwa inaambiwa ikulu kila kitu kiko sawa haina haja ya kwenda mara nyingi Confusion ndo njia pekee huwa inatumika kuzuia wanajeshi wanaowahi kwenda kumuokoa raisi wasifike kwa wakati

Narudi tena kitabu cha kufanya mapinduzi kiliandikwa na C.I.A ili kuwasaidia wafanya mapinduzi wakati ule marekani ilikuwa iko busy kupindua serikali mbalimbali dunia nashuruku na mimi copy yake niliwahi soma kidogo kwa jina practical handbook for coup detat

Pia 70% mapinduzi duniani hufeli 30% ndo hufanikiwa yakipangwa vizuri

RIP malanga umekufa kwa ujinga wako elimu muhimu kabla kufanya japo lolote na lazima uone lipo ndani ya uwezo wako sio unakurupuka tu​
Tangu lini wakongo wakawa serious?
 
Angeshika Radio ya Taifa kwanza na kufunga Mipaka na Airport zote angelianzisha usiku wakati Raisi kalala halafu anamuingilia Ikulu halafu analipasua lile tumbo kwa shaba.
Baada ya mapinduzi ukifanikiwa kumkamata raisi kamwe usimue kwanza atleast kaa nae kama miezi sita..hii ni kutokana na wataalaam wa mapinduzi .unamweka house arrest sio kwamba unampenda ana kazi hii

1. Kujua hela za serikali na madeni
Rais ulimpindua atakusaidia kujua hela zote zilipo na nini kinaendelea upande wa hela za kiserikali na madeni yake

2.mikataba ya siri
Akupe mikataba yote ya siri kumbuka serikali ina mikataba mingi ya siri kuliko.ya uwazi so rais ulimpindua ni kazi yake kukupa uelekeo

3.siri za kijeshi na maadui wa utawala wake kimya kimya ambao nao kwa namna moja watakuja kuwa maadui wako hapo ulimpindua atakwambia na mambo mengine mengin

Stage inayofuata mageneral wa kijeshi wote walikuwa chini ya rais ulimpindua kuna mawawili nusu watao jifanya wajuaji usipoteze muda unawaua ....walio baki wote unawapa ubalozi kwenye nchi ngumu na za mbali sana

Watu wote ulishiriki nao kupindua nchi hasa close friends nao unawapa ubalozi maana nao huwa wanakupindua ukizengua
 
Kosa la kupinduliwa na marafiki lilitendeka Sudan na Burkinafaso
 
Nitaandika haraka haraka kama mtu niliwahi soma kitabu maalumu kwa ajili ya kufanya mapinduzi ya nchi kilichoandikwa C.I.A chini ya mwandishi edward luttwak kwa jina practical handbook for coup detat kitabu hii cha mwaka 1968 ndo huwa kina somo ili kufanya mapinduzi yafanikiwe kilipigwa marufuku nchi mbalimbali maana ukisoma hii ukaelewa vizur raisi unamtoa mchana kweupe bila usumbufu wa damu kumwagika

Turudi congo kwenye jaribu la kumtoa rais congo jana na bwana malanga raia marekani na congo alikuwa kiongozi yeye pamoja na mtoto wake ameonesha dhahiri hana elimu ya kutosha kuhusu mapinduzi ya kijeshi makosa aliyo fanya ni haya

1. Aliteka bunge
Bwana malanga jana kafanya kosa kuteka bunge ambako sio center ya power ya congo hili ndo kosa kubwa bwana malanga alifanya ndo maana hakufanikiwa bunge kwenye mapinduzi ya kijeshi sio issue labda angeteka bunge likiwa bado lina wabunge ndani na kuwafanya wabunge wampige kura ya kutoa rais lakina bado angeshindwa pia .. hadi sasa sikuona umuhimu wa kuteka bunge

2. Hakujua rais yuko wapi
Bwana malanga alikosea kujua rais ya congo Felix Tshisekedi unapofanya mapinduzi ya kijeshi lazima ujue rais yuko wapi na best time huwa rais akiwa nje ya nchi yaani unampokoja uraisi akiwa huko huko nje ya nchi mfano iddi amini na obbote, john okello pia alijua sultan yuko ikulu so twende huko huko sultani wa znz akakimbia bwana malanga wa congo hili hakujua raisi yuko wapi....yaani lazima ujue raisi yuko wapi rais ndo center of power

Hata hapo bongo moja ya jambo lililowatatiza sana wafanya mapinduzi wa 1964 walishindwa kujua rais yuko kumbe nyerere alikimbilia kigamboni mji mwema huko kwenye nyumba ya raia wa kawaida akitwa mzee sultan kizwezwe nyumba ya makuti tu akawa ana toa order za kijeshi na nchi kutoka kigamboni mji mwema ila wangejua yupo kigamboni shughuli ilikuwa imeisha rais wa nchi wakati ule angekuwa bwana elisha kavana maana ndo aliongoza mapinduzi ya 1964

3. Radio/tv ya taifa na kiwanja cha ndege
Bwana malanga aliteka bunge akasahau radio ya taifa kiwanja kikuuu cha ndege ili kuifunga nchi kwa muda kisha kutangaza yeye ndo raisi kupitia radio ya taifa na tv pia kuwapa taarifa askari wote watulie kuwa kila kitu kipo under control, badala yake yeye akiwa bungeni congo bwana malanga akatumia facebook kutangaza mapinduzi mjinga

4. Kutokuwa na mawasiliano na wakuu wa kambi za kijeshi hasa makanali
Wakuu wa kambi za kijeshi huwa mara nyingi ndo wanapokea order za kijeshi kutoka wakubwa wa kijeshi kama mabrigedia na majenerali kutoa wana jeshi na silaa ziende eneo fulani mara nyingi huwa ndo wahusika wakuu wa kambi husika, sasa bwana malanga ilibidi apate mawasiliano na hawa watu na kuwarubuni kuwa akifanya mapinduzi atawapandisha vyeo na kula mema ya nchi endapo watakaa order kutoka kwa wakubwa zao, hapo ilibidi hadi macaptain na acheze nao hasa wa kambi za jiran ambapo mapinduzi yanafanyika.

Sasa yeye kaanda kama kichaaa bila kuwa na connection na watu ndani ya jeshi la congo hasa wakubwa wa kambi na macaptain mbali mbali

Njia hii aliitumia gadafi kumpindua yule mfalme mwaka 1967 order za kijeshi makambini zilifika wakuu wa kambi wakagoma kutoa silaa wala wanajeshi

5. Confusion barriers...vikwanzo uzushi barabarani ....
Pia alikosea kuweka Confusion ilibidi askari wake wote wavae nguo za jeshi la congo kisha kuweka barriers mbali mbali za kijeshi ili misafara ya kijeshi ikifika hapo kweye barriers inasimamishwa inaambiwa ikulu kila kitu kiko sawa haina haja ya kwenda mara nyingi Confusion ndo njia pekee huwa inatumika kuzuia wanajeshi wanaowahi kwenda kumuokoa raisi wasifike kwa wakati

Narudi tena kitabu cha kufanya mapinduzi kiliandikwa na C.I.A ili kuwasaidia wafanya mapinduzi wakati ule marekani ilikuwa iko busy kupindua serikali mbalimbali dunia nashuruku na mimi copy yake niliwahi soma kidogo kwa jina practical handbook for coup detat

Pia 70% mapinduzi duniani hufeli 30% ndo hufanikiwa yakipangwa vizuri

RIP malanga umekufa kwa ujinga wako elimu muhimu kabla kufanya japo lolote na lazima uone lipo ndani ya uwezo wako sio unakurupuka tu​
Dah...
Mambo yako Kasi Sanaa...
Sema Hawa jamaa hawakujipanga.

Ila DR Congo hakuna Rais pale..

Atapumzishwa mapema.
 
Hakua na resources ivyo Alizani kupitia matangazo atapata support kwa haraka ..kumbe alikua ni sawa na jambazi
 
Huyu mzee siku si nyingi wanamla kichwa. Huyu Malanga angeweza tu kupanga watu vizuri na kupewa taarifa sahihi za raisi mahala alipo ingekua ni acheche.
 
Mapinduzi ya nchi unayatangazia Facebook? Watu wanaopindua nchi huwa wanapindua kwa style ile ?
Hapo kwel, ile ilikua kiki tu, hakukua na serious biznes pale.
Kagame lazima anahusika ili ionekane sio yeye tu na m23 yake wenye uhasama na Felix, wamfanye a divide attention yake kumbe ni the same man PK
 
Itajulikana tu maana ni kulikua na mamluki kibao tu..kuna waliokutwa na hadi US passport
 
Back
Top Bottom