PreGE2025 Makosa ya kiufundi waliyofanya wanaojaribu kuhujumu "No Reforms No Election"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mimi maelekezo meeeeengi huwa sisomi. I just get the gist. Chadema ni kama mshumaa; unawaka huku ukiteketea!
 
Kama wanasaidia kukiua Chama wakitoka kuna ubaya gani?. Hata akibaki mmoja kama anasimamia misingi na anapata uungwaji mkono na majority Mimi naona ni Afya Sana!
 
Mitandaoni kilinuka kwelikweli
 
Ni sawa mkuu
 
CHADEMA tayari ni Chama cha Wananchi. Imekwishavuka level ya kupiga magoti. G55 wale wanalilia matumbo yao na hawatafika popote. Uchaguzi wa 2030 kama Katiba ikiandikwa upya, Tume ya Uchaguzi ikiundwa upya kwa masilahi ya wananchi CHADEMA itakuwa tishio.
 
2025 siyo 2015
 
CHADEMA Haina mpango wa kushika dola
 
G55 ya wajinga, watafute ajira ,labda walalamike hawajalipwa mafao yao ......mtu uliajiriwa mkataba unaisha unaleta nongwa
 
Bado hujaelewa tu? Hili jambo sio la CHADEMA tena.
Ni la CHADEMA ila wanataka kutumia wananchi wajinga kuwaingiza madarakani.

Ni nini CHADEMA wanachokiweza kufanya ambacho CCM imeshindwa? Watanzania ni hawa hawa na nchi yetu ni hii hii. Kama ni ufisadi nao wanafanya na kama ni upendeleo wanafanya na kama ni kuvunja sheria tunaona wakivunja tu ndani ya chama chao
 
Neno la mwisho lisingekuwa No election wangefanikiwa.Wote waliokaa kutengeneza hiyo slogan walikuwa hawajanyoa miezi sita na kupiga mswaki miezi miwili wakicheza na mademu wa kikenya
 
Huo ni mkakati kilema na hauwezi kufanikiwa. Hakuna sisimizi yeyote wa CHADEMA anaweza kuzuia uchaguzi.
Ni mvuta bangi tu ndiyo anaweza kutoa jibu la kipuuzi kwa kiwango kwenye andiko makini na lililojitosheleza kama hili.
 
Acha kupindisha, sema timu siyo ya viongozi wa timu na benchi la ufundi, ni ya wachezaji. Hata uongozi na benchi lote wakiondoka timu ipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…