PreGE2025 Makosa ya kiufundi waliyofanya wanaojaribu kuhujumu "No Reforms No Election"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tatizo ni hiki kimama, ndiyo kimeleta yote haya.
 
Akhsante sana na kongole kwa andiko bora kabisa Jumapili njema ya leo.
Mungu akubariki sana ndugu Missile of the Nation .

Tuliandika walipojitokeza tu hawa G55 kuwa hii ni project iliyofail kabla ya kuanzishwa.

Kuna mtu alininong'oneza kuwa projects zote za CCM + Dola kwa sasa zinaendeshwa na watu wawili ambao hawana hata elimu ya awali ya mikakati achilia mbali hata sayansi ya siasa.

Ni aibu ya hali ya juu kuwa na everything at your disposal halafu unaiachia familia isiyojua A wala B ya mikakati kuwa mstari wa mbele.
 
Well said.
 
Hilo la.diaspora kumuelewa zaidi Tundu lissu lipo.wazi angalia akiendaga marekani wanavyompokea
 
Ni mvuta bangi tu ndiyo anaweza kutoa jibu la kipuuzi kwa kiwango kwenye andiko makini na lililojitosheleza kama hili.
Wavuta bangi ni watu wanaojitambua sana sema ni taahira tu ndiye anaweza kujibu kindezi kama huyo huihui.
 
Acha kupindisha, sema timu siyo ya viongozi wa timu na benchi la ufundi, ni ya wachezaji. Hata uongozi na benchi lote wakiondoka timu ipo.
Katikati ya msimu kila mtu akikimbia si msimu unaharibika.
 
Hilo la.diaspora kumuelewa zaidi Tundu lissu lipo.wazi angalia akiendaga marekani wanavyompokea
wanamuelewa sana, halafu michango yao ya fedha, kumtia moyo, kuwashawishi ndugu zao walioko bongo kumuunga mkono Lissu, na kugenerate content za maandishi na sauti zinazorushwa katika mitandao ya jamii inasaidia sana kumuongezea visibility na support
 
Uchambuzi mzuri sana mkuu, Watanzania tunahitaji mabadiliko hilo halina ubishi
 
Ni mvuta bangi tu ndiyo anaweza kutoa jibu la kipuuzi kwa kiwango kwenye andiko makini na lililojitosheleza kama hili.
Hata Barack Obama alikuwa mvuta bangi na bado akawa USA President. Msijipe umaarufu msiokuwa nao. NCCR ya Agustino Lyatonga Mrema ilikuwa maarufu kuliko CHADEMA ya sasa
 
Please understand the whole article context kabla ya ku-comment kichawa
Ukisha anza na No Reforms tu sijitaji kujuwa unaelekea wapi!! Hao wametaka kuleta uasi ili kuzuia uchaguzi. Hatuwezi kutumia fujo kuleta mabadiliko
 
We bado unaamini wanatoka wanaweza uongozi kuliko watu wengine ambao kwa sasa wanachama wakawaida?
 
Reactions: Tsh
Huo ni mkakati kilema na hauwezi kufanikiwa. Hakuna sisimizi yeyote wa CHADEMA anaweza kuzuia uchaguzi.
Muwe na akili nyepesi na kuelewa mambo kwa haraka...

Na kutokuelewa kwenu huku, ndiko mnakopelekea muendelee kufanya blunders za kijinga ikiwemo kunyamazisha sauti kinzani kwa kuua, kumwaga damu...

Iko hivi ndugu Huihui2;

Uchaguzi hauzuiliwi na yeyote....

Na wala hakuna anakayesusia au kuacha kushiriki kwenye uchaguzi na chaguzi zingine zozote..

ISIPOKUWA:

Hakuna uchaguzi mwingine wowote achilia mbali huu wa November, 2025 (kwa mujibu wa kalenda ya katiba) utakaofanyika IWAPO HATUTAKAA CHINI KAMA TAIFA NA KUFANYA ELECTORAL REFORMS Ili kuruhusu kufanyika kwa CHAGUZI HURU, WAZI, ZA HAKI NA ZA KUAMINIKA na kila mtu....

Sababu za ulazima wa kufanyika kwa electoral reforms zimeshafafanuliwa very clearly na kila Mtanzania amezielewa na kukubali kuwa ni HAKIKA na KWELI kuwa, ni muhimu tutengeneze upya mfumo wetu wa uchaguzi, uliopo Sasa ni functionless, ni poisonous, unaweza kutusababishia machafuko na mauji makubwa huko mbeleni...

KWA HIYO; Kwa lugha rahisi kabisa ya kukufanya uelewe, ndo kusema kwamba NI LAZIMA TUPATE VIONGOZI AU SERIKALI MPYA KWA NJIA YA UCHAGUZI SAWASAWA NA TAKWA LA KATIBA, hili liko wazi na kila mtu anaelewa. Lakini si kwa mfumo huu wa uchaguzi tulionao sasa ambao umejaa mapungufu, na haufanyi kazi fairly anymore...

Nakusisitizia tena:

Uchaguzi NI LAZIMA UFANYIKE iwe ni November 2025 mwaka huu au kwa tarehe nyingine yoyote mwaka 2026 au hata 2027 kwa kutegemeana na lini tutakamilisha kufanya ELECTORAL REFORMS...

Kama hamjali na kuelewa haya kwa kuwa akili na fahamu ziko gizani, basi bakini ktk giza la kutokuelewa kwenu LAKINI tambueni hili, kwamba, nyie ambao mioyo yenu ni migumu kuelewa kama jiwe, majira na nyakati zitawafundisheni in a very harsh and hard way kuelewa na kutenda kwa usahihi kwa wakati wake...!
 
We bado unaamini wanatoka wanaweza uongozi kuliko watu wengine ambao kwa sasa wanachama wakawaida?
Mm naamini kwenye uzoefu unless 2030 nayo imepuuzwa.
 
Hongera sana mleta mada, Missile of the Nation, i.elitendea haki bandiko lako, kwa kiwango cha, 'zaudi ya matarajio'.

CCM ya sasa, inaamini zaidi katika kutumia maguvu kuliko akili. Wasichokijua ni kuwa maguvu hayawezi kuishinda akili. Ndiyo maana, ng'ombe pamoja na maguvu yake, anaswagwa hata na mtoto mdogo.

CCM yote, pamoja na polisi na TISS, wanaswagwa na Tundu Lisu, mtu mmoja.
 

Ngoja tuwaone CCM wapumbavu wanakokwenda litakalowatokea wasimlaumu mtu nchi hii sio ya wajinga tena,tunao chawa wachache ambao hawajaenda shule ambao kula yao ni kujiendekeza ndio wapate mlo wa siku hao ni wachache sana ktk mamilioni ya watanzania walioelimika.Siku inakuja naamini wauaji wote watatafuta kwa kwenda
 
Kimsingi huu mkakati ume feli siku ya kwanza tu ulipoanza,na ukishakosa uungwaji mkono wa wananchi basi shughuli yako imeisha na hao jamaa hawana uwezo wakukusanya watu mkutano wa hadhara hakuna hata mtu mwenye ushawishi malalamiko yao yote wanaweka kwa mwenyekiti mpya hii inaonesha nimaumivu makubwa waliyonayo ya kushindwa uchaguzi kama walishindwa kwenye uchaguzi wakiwa na nguvu,pesa na wingi wa watu kwenye maamuzi walitakiwa kujitathimini ila huwezi kutumia watu ma bogus kama Mrema kuratibu jambo utegemee matokeo chanya 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…