PreGE2025 Makosa ya kiufundi waliyofanya wanaojaribu kuhujumu "No Reforms No Election"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mimi maelekezo meeeeengi huwa sisomi. I just get the gist. Chadema ni kama mshumaa; unawaka huku ukiteketea!
Mtoto wa shule ni more feminine, kaa tulia wakupakate na kukulea " mtoto" mzuri, haya mengine ukiyaendekeza utapata hysteria.
 
Walipotoka G55 wameondoka na wanachama wangapi kiongozi ili na sisi tupate faida maana hatujui
 
Reactions: Tsh
Timu ni suala la meneja, kocha na wachezaji. Klabu ni ya wananchi.

CHADEMA ni klabu - ni ya wananchi kama alivyosema mdau. Viongozi wanachaguliwa na kuondoshwa na wanachama kwa msukumo wa wananchi.
 
No reform no election
 
Wanaohujumu NRNE wanaenda against the tide na hawataweza huwezi kulazimisha 2025 iwe 1967.
 
Umeongea vyema kabisa...kuddoz
 
Dikteta Samia anapaswa kusoma alama za nyakati haraka. Mambo yamebadilika sana, asipotoshwe na machawa wenye hofu ya kupoteza ulaji wao waliouzoea miaka na miaka.
 
Huo ni mkakati kilema na hauwezi kufanikiwa. Hakuna sisimizi yeyote wa CHADEMA anaweza kuzuia uchaguzi.
Na hakuna kidudumtu yeyote atakaeweza kurazimisha watu wakapige kura; hapo ndipo tutajua dakika 90 mechi inasemaje
 
Timu ni suala la meneja, kocha na wachezaji. Klabu ni ya wananchi.

CHADEMA ni klabu - ni ya wananchi kama alivyosema mdau. Viongozi wanachaguliwa na kuondoshwa na wanachama kwa msukumo wa wananchi.
Ni sawa, viongozi ni wachezaji. Wakiondoka kwa fujo unaweza poteza msimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…