PreGE2025 Makosa ya kiufundi waliyofanya wanaojaribu kuhujumu "No Reforms No Election"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hukimsikia Lissu aki SEAL a PROCLAMATION kuwa uchaguzi CHADEMA mwaka huu waushau?
Na hili ndio tatizo, hao anaowaambia wasahau uchaguzi, wakati walijipanga na kujua wana matumaini ya kupata ajira za udiwani, na ubunge, huyo lissu ana hela za kuwalisha na familia zao?
 
Uchaguzi ni November 2025, hakuna sisimizi wa kuzuia, hilo ni suala la kikatiba, period
 
Na hakuna kidudumtu yeyote atakaeweza kurazimisha watu wakapige kura; hapo ndipo tutajua dakika 90 mechi inasemaje
Usipopiga kura wewe hutakuwa wa kwanza kutopiga. Watakaopiga wataileta Serikali itakayoshinda madarakani
 
Bahari haikai na uchafu. Na mti kupukutisha majani wakati wa kiangazi ni kwa usalama wa mti.
Upo sawa boss japokuwa hata bahari ina ukomo wa uvumilivu, sumu ikizidi maji yanageuka sumu na kuua viumbe.
 
Chadema walipita kwenye uhalisia WA Hali ya CHAGUZI za sasa, kwamba watz hatuoni maana ya KUPIGA KURA na KUCHAGUA kwa sababu ya mfumo mzima Tayari unajua wanaotakiwa kuwa viongozi.
KUPIGA KURA NI KUPOTEZA MUDA
 
Nafuu dalali mchumia tumbo Mrema kuliko Lissu mtetea ushoga
Katetea ushoga wapi? Hivi mnafikiri humu wote ni wajinga kama mlivyo nyie kiasi mnaweza kutulisha propaganda zenu za kijinga hizo?
 
Sasa hoja yako ni ipi?
Naona kama vile umevurugwa
 
Kupiga kura ni kuhalalisha maisha magumu kwa Watanzania. Msako utafanyika kila kona kila uchochoro, ole wake atakayekutwa ana alama ya rangi kwenye kidole. Kidole kitakatwa. Hatuwezi kuendelea kuishi na wasaliti mitaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…