Makosa ya kutafsiri Kiswahili kwenda Kiingereza

Makosa ya kutafsiri Kiswahili kwenda Kiingereza

The job is cotton fire [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nafikiriiii nimeelewekaaaa
 
Don't eat corruption to drive your life [emoji17]

....usile rushwa kuendesha maisha yako-tafasiri sisisi.

Acha kutegemea rushwa kuendesha maisha yako
 
Nash mc alishawahi kuhojiwa kwanini hapendi kutumia lugha ya kingereza katika sanaa yake ya muziki?

Akasema "fikra sahihi huja kwa lugha asili" alafu akatolea mfano kua hata hawa wanaoweka maneno ya kingereza usifikiri kingereza chao kinaeleweka na muingireza endapo atakisikia. Mfano unamuimbia muingireza "vaileth usi go vailet ukiniacha itakua so" hivi unafikiri ubeti huo mzungu gani atauelewa?
😀😀
 
Back
Top Bottom