ππππππ HahahahahahMamambaligari - Motherfarcar
....Bila sababu [emoji23][emoji23][emoji23]Usinifatefate[emoji1][emoji1]
Don't eat corruption to drive your life [emoji17]
πdon't followfollow me without any because
ππNash mc alishawahi kuhojiwa kwanini hapendi kutumia lugha ya kingereza katika sanaa yake ya muziki?
Akasema "fikra sahihi huja kwa lugha asili" alafu akatolea mfano kua hata hawa wanaoweka maneno ya kingereza usifikiri kingereza chao kinaeleweka na muingireza endapo atakisikia. Mfano unamuimbia muingireza "vaileth usi go vailet ukiniacha itakua so" hivi unafikiri ubeti huo mzungu gani atauelewa?
mkuu, baba mdogo wa baba anaitwaje kwa kiingereza??[emoji16]Kwenye Kingereza kuna "aunt" na "uncle" kwa maana ya dada au kaka wa wazazi wa mhusika.
Usinifatefate[emoji1][emoji1]