Wait, hivi ukiwa na population kubwa isiyozalisha still utakuwa na per capita kubwa!!!!
Naona hapa hatukuelewana. Uingereza na Ujerumani yamekuwa ni mataifa ya kiviwanda tangu miaka ya 1780s na 1840s respectively and for that matter, haitegemewi kuwa yanazidiana kwenye vipato vya mtu mmoja mmoja. Nchi zote hizo ni za Wazungu wa Ulaya ya Kaskazini (Teutonic).
Shida inakuja kuwa, licha ya Ujerumani kuongoza kwenye industrial production, Uingereza amejikuta ame-specialize kwenye Services industry hasa Banking. Ni biashara ya mabenki ndiyo inayoipa kiburi Uingereza hata ya kutaka kujitoa (Brexit) Ulaya. Watu wengi duniani wameweka fedha zao UK kuliko nchi yoyote ya Ulaya hata Uswisi haioni ndani.
So najua mnafahamu kipato cha wanaofanya kazi katika Banking Industry jinsi kilivyo kikubwa. Hivi vitu ndo vimesababisha Uingereza kuizidi Ujerumani kwa muda wote huo.
Labda niiweke hivi, Maeneo yote ya kiviwanda na makaa ya mawe (heavy indusry) yaliyozipa nguvu Uingereza (Lancaster), Ubelgiji (Wallonia), Ujerumani (Ruhr) Ufaransa (Nord), Marekani (Mid-East), Poland (Silesia), Ukraine (Donbass) na Russia (Kuzbass), ndiyo yenye hali ngumu sana ya kiuchumi kwenye nchi hizo. So, viwanda vimebadilika sana Ulaya, ambapo hawawezi kushindana na
Asian Tigers (Korea, Taiwan, Singapore, Philippines na Thailand) katika viwanda vya
Electronics na
ICTs kwa ujumla. Bahati mbaya
automation ndo mpango mzima kwa viwanda vya sasa.
So, licha ya Majimbo ya Ujerumani ya Bavaria (Bayern) na Baden Wurttemberg kuongoza kwa uchumi imara sana barani Ulaya, bado Ujerumani inaangushwa na Majimbo ya Mashariki, pamoja na Jimbo la NRW (lilikokuwa na viwanda vingi zamani). Maeneo mengi ya Uingereza nayo yako worse zaidi but yanasaidiwa sana kwenye takwimu na uchumi wa London.
Mbona Tanzania tuko
namba mbili kwa uchumi mkubwa Afrika Mashariki nyuma ya Kenya lakini tuko
namba nne on per capita tukizidiwa na Kenya, Uganda na Rwanda?
Ndiyo maana niliandika huko juu kuwa, lugha ya kiingereza, inawasaidia sana kimaisha Waingereza.
Sorry New York, But London Is The World's Real Capital City