Mgambilwa ni mntu
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 2,869
- 3,187
- Thread starter
-
- #21
Oohhh, kama ni kwa enzi za ukoloni hasa Inter-Wars Period (1920-1940) Ujerumani ilikuwa na watu wengi so, iliizidi Uingereza but on per capita ilikuwa inazidiwa mbali.Nilirefer situation ya Mjerumani kuwa hana makoloni lakini kumpita Muingereza( During Hitler's Era)
Nilipokuwa Primary tulisoma kuwa, umasikini wetu ulitokana na kunyonywa na wakoloni but nilianza kuikataa hiyo theory moja kwa moja tangu nikiwa Form III. Hiyo ni baada ya kusoma jinsi Ujerumani na Belgium zilivyokuwa na nguvu ya Viwanda kuzidi Nchi zote duniani kipindi hicho cha ukoloni kuanzia 1840 - 1940, nyuma tu ya Uingereza na USA na ahead of France, Spain, Italy na Portugal zilizokuwa na makoloni.Nilirefer situation ya Mjerumani kuwa hana makoloni lakini kumpita Muingereza( During Hitler's Era)
Sure wala hakuna anayekataa hilo. But hoja Kuu ilikuwa mchango wa makoloni kwa maendeleo ya Wazungu.Ujerumani ni taifa la kwanza lenye nguvu kichumi ulaya,na siyo Uingereza.Kwa taarifa yako isingekuwa vita vya pili vya dunia basi ujerumani lingekuwa taifa number 1 lenye nguvu kiuchumi duniani.
Population na GDP wapi na wapi hebu angalia China vs USA, Nigeria vs Nchi za Ulaya nk unaweza ukawa na lundo LA watu kumbe wao maisha ni kubet tu na kuvuta bangiLicha ya Ujerumani kubwa ha mbali on GDP, but still Ujerumani na Uingereza hawatofautiani sana kwenye GDP on per Capita. GDP ya Ujerumani imekuwa kubwa zaidi kutokana na kuwa na watu wengi pia (milioni 82 vs milioni 65).
Well said mzee. Kweli Bismarck alionyesha akili kubwa sana hasa alivyofanikiwa ku-maneuver Balozi wa Ufaransa kwenye Ems Tekegram mwaka 1870. Incident hiyo ndiyo ilisababisha Franco-Prussian War kwani Wafaransa hadi kipindi hicho walikuwa ndo wameendelea zaidi kuliko Ujerumani but hawakujua kuwa, Prussia alikuwa ameshaboresha silaha zake kwa kiwango kikubwa ambazo zilikuwa zikitenfenezwa na Kampuni ya Friedrich Krupp AG eneo la kiviwanda la Ruhr (Essen).Umgambilwa ni Mntu, nimekubali sana brother, but also I appreciate the Germany strategy since the Hon. Con. Bismarck akili kubwa iliyo onwa na mfalme Wilhelm I. Wako samart mpaka leo na isingekuwa WWI Tanganyika ingekuwa zaidi ya SA leo kiuchumi. Basi tu bahati haikuwa yetu.
Wait, hivi ukiwa na population kubwa isiyozalisha still utakuwa na per capita kubwa!!!!Licha ya Ujerumani kubwa ha mbali on GDP, but still Ujerumani na Uingereza hawatofautiani sana kwenye GDP on per Capita. GDP ya Ujerumani imekuwa kubwa zaidi kutokana na kuwa na watu wengi pia (milioni 82 vs milioni 65).
Nimewaza the same.Population na GDP wapi na wapi hebu angalia China vs USA, Nigeria vs Nchi za Ulaya nk unaweza ukawa na lundo LA watu kumbe wao maisha ni kubet tu na kuvuta bangi
Naona hapa hatukuelewana. Uingereza na Ujerumani yamekuwa ni mataifa ya kiviwanda tangu miaka ya 1780s na 1840s respectively and for that matter, haitegemewi kuwa yanazidiana kwenye vipato vya mtu mmoja mmoja. Nchi zote hizo ni za Wazungu wa Ulaya ya Kaskazini (Teutonic).Wait, hivi ukiwa na population kubwa isiyozalisha still utakuwa na per capita kubwa!!!!
Tofauti na mitazamo ya Watu wengi duniani, lakini ukweli ni kuwa, Marekani ndiyo Nchi iliyojaliwa kwa rasilimali muhimu na nyingi kuliko Nchi zote duniani. Anyway, inazidiwa kidogo kwenye rasilimali za madini lakini ardhi ya Marekani ina eneo kubwa linalofaa kwa kilimo kuliko Nchi zote duniani and just only second to China.Nini haswa kilimfanya mmarekani alietawaliwa na muingereza kuinuka kiuchumi na kumpita muingereza?
eti maisha ya kubetPopulation na GDP wapi na wapi hebu angalia China vs USA, Nigeria vs Nchi za Ulaya nk unaweza ukawa na lundo LA watu kumbe wao maisha ni kubet tu na kuvuta bangi
USA imepatikana baada ya revolution before that it was called British empire tuu in new world. walkua na viongozi majembe sana america ya ile declaration of independece ni ilkua hatari ilihamasisha mapinduzi bara lote la america... na shida ilibuk baada ya wazungu wazawa kuona kama wazungu wa UK wanawanyonya kama watumwa tafuta declaration of independence uone story zakeNini haswa kilimfanya mmarekani alietawaliwa na muingereza kuinuka kiuchumi na kumpita muingereza?
Ngoja nitaitafuta mkuu.USA imepatikana baada ya revolution before that it was called British empire tuu in new world. walkua na viongozi majembe sana america ya ile declaration of independece ni ilkua hatari ilihamasisha mapinduzi bara lote la america... na shida ilibuk baada ya wazungu wazawa kuona kama wazungu wa UK wanawanyonya kama watumwa tafuta declaration of independence uone story zake
Kwenye maendeleo huwa ni sawa sawa tu na maisha ya mwanadamu. Mpaka sasa kuna watu wengi hapa Tanzania wanaamini kuwa, Tanzania hatufanyi vyema kwenye soka eti miundombinu ni mibovu, mimi nitakuwa wa mwisho kuamini kitu kama hicho. Ni lazima kwanza kipaji kiwepo halafu ndo miundombinu ije lakini si kuwa na viwanja vingi na academy lakini watu wenyewe mpira ni hola. Ingekuwa mpira ni miundombinu, Canada, Australia, New Zealand zingekuwa pia among the top in the world na katika Afrika, South Africa wangekuwa wanachukua ubingwa kila siku right?USA imepatikana baada ya revolution before that it was called British empire tuu in new world. walkua na viongozi majembe sana america ya ile declaration of independece ni ilkua hatari ilihamasisha mapinduzi bara lote la america... na shida ilibuk baada ya wazungu wazawa kuona kama wazungu wa UK wanawanyonya kama watumwa tafuta declaration of independence uone story zake