Makosa ya Uonevu na Unyanyasaji Mtandaoni yapungua kwa 41.3% nchini (2022–2025)

Makosa ya Uonevu na Unyanyasaji Mtandaoni yapungua kwa 41.3% nchini (2022–2025)

tucker carlson

Senior Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
182
Reaction score
759
Takwimu mpya kutoka NBS zinaonyesha kuwepo kwa mafanikio makubwa katika mapambano dhidi ya unyanyasaji mtandaoni, ambapo matukio yaliyoripotiliwa yameshuka kwa asilimia 41.3 kati ya mwaka 2022 na 2025.

Kwa mujibu wa takwimu hizo kuhusu "Uonevu wa Mtandaoni: Mwenendo wa 2022–2025", wastani wa makosa yaliyoripotiwa kwa mwaka umefikia matukio 376.

Mwenendo wa Takwimu kwa Miaka:​

  • Mwaka 2022: Yaliripotiwa makosa 363.
  • Mwaka 2023: Yalitokea matukio 475, ikisajili ongezeko la asilimia 30.9 ikilinganishwa na mwaka uliotangulia.
  • Mwaka 2024: Yaliripotiwa makosa 453, ambalo lilikuwa punguzo la asilimia 4.6.
  • Mwaka 2025: Makosa yalipungua kwa kasi hadi kufikia 213, ikiwa ni anguko kubwa la asilimia 53.0.


1791876956096.png
 
Back
Top Bottom