Makosa ya Usalama Barabarani

Makosa ya Usalama Barabarani

franknombo

Senior Member
Joined
Mar 30, 2019
Posts
170
Reaction score
177
Wadau habari,

Naomba kujua ni makosa gani ya Usalama Barabarani yanaingia kwenye jinai na makosa gani yanaingia kwenye madai.
 
Hapa waje tu,wanasheria.
Traffic wanatupiga sana za uso
 
Back
Top Bottom