Makosa yaliyowagharimu Simba leo Agosti 13, 2022

Ndo Mpira. Vijana Japo Wamepoteza Lkn Strong Message Wametoa KWAMBA HUU MOTO NI MPAKA SEMI FAINO CAF. Ndo mana CAF waliwaalika ARUSHA. Yes Mwaka huu Hawataishia Quarter.....SEMI tu.

Hii ni misamiati Kwa Uto..
Nguvu moja
 
Hili la mkude tumeliongelea. Muda mrefu lakini viongozi wamekuwa wanajifanya hawasikii
Hili la mkude tumeliongelea muda mrefu lakini viongozi wamekuwa wanajifanya hawasikii
 
Si Yanga ni wabovu sasa kama unafungwa na mbovu wewe tukuiteje?
Taabu kweli kweli napata mashaka kama ww ni shabiki wa mpira man city mwenyewe anafungwa na real Madrid tena na vitimu vidogo na ubingwa anachukua shida ni simba kufungwa na yanga lakini kufungwa kila team inafungwa.
 
Kabisa sio watu wa mpira,wangekuwa watu wa mpira haya mapungufu ya toka mwaka juzi yangeshafanyiwa kazi Bora Mo asijili mwenyewe kama GSM
 
Yule Try again anatakiwa akawe kiongozi wa dini na sio mpira, mpira unataka kiongozi bedui kama Hans Pope
 
Umeona goli la sakho lile licha ya simba kufungwa ila wametoa burudani safi kabisa derby hazitabiriki kama furaha ya Yanga nikuifunga simba halafu kimataifa mnatobolewa basi hongereni tukutane CAF kwa wakubwa huko.
Umeandika kwa maumivu makali sana.
Simba guvu moya
 
Yule Try again anatakiwa akawe kiongozi wa dini na sio mpira, mpira unataka kiongozi bedui kama Hans Pope
Hakuna kiongozi mwenye jicho zuri la usajili kama Kaburu ila waliopo Sasa wanauza sura kwenye vyombo vya habari
 
Taabu kweli kweli napata mashaka kama ww ni shabiki wa mpira man city mwenyewe anafungwa na real Madrid tena na vitimu vidogo na ubingwa anachukua shida ni simba kufungwa na yanga lakini kufungwa kila team inafungwa.
Mpunguze dharau kama timu imekufunga mara 3 kwenye mechi tano umepata draw mbili unaiitaje timu mbovu?
 
Umeona goli la sakho lile licha ya simba kufungwa ila wametoa burudani safi kabisa derby hazitabiriki kama furaha ya Yanga nikuifunga simba halafu kimataifa mnatobolewa basi hongereni tukutane CAF kwa wakubwa huko.
Mkisha fungwa mnalimbilia CAF as if kuna cha maana mmefanya huko
 
Hata kigoli chao kilikuwa cha offside, makolo mwaka huu mnalo
 
Mimi ni shabiki wa Simba ila Yanga kiboko aisee, yule Ki Aziz co wa level za Afrika, Mayele anafaa akaisaidie Man utd, Bangala ni noma, Aucho ni wa EPL, Fei kama Zidane, Makambo anaanzia benchi lakini akija kwetu panga pangua alafu nje kuna kina Lomalisa, Kambole, Bigirimana.. we unadhani tungetokea wapi?
 
Mchawi ni Matola hawez kumshaur kocha, alaf ndo ana kibarua cha kudumu pale Simba.

Kweli Kapombe anakaa bench? Kyombo anacheza dakk 60?

CEO ujuaji mwingi.. Tumemkosa SOPU tukabeba Kyombo, Tumemkosq Adebayor, Aziz Ki na Manzoki.
 
Hapo kwa lwanga wamezingua sana aisee yule ni pure namba 6 anaakili ya mpira.

Anafata maelekezo ya Mwalimu kulingana na uchezaji wake sio hao wengine hawaelekezeki
 
Anyway umesema ni maoni binafsi sawa.
Lakini kosa la Kakolanya hata mtoto mdogo anayeamini huwa wanafungwa makipa hawezi kuliona isipokuwa wewe peke yako.
Umeongea vitu vingi lakini umeshindwa kabisa kujua chanzo cha magoli yote ya Yanga ni kukosekana kwa strong DM?
 
Umeongea ukweli mtupu. Mashabiki wengi wa Simba tunashindwa kuona makosa binafsi ya wachezaji wetu na kuishia kuwalaumu marefa, makocha na Barbara.
 
Kipa kazi yake si kudaka mbona kuna mechi za kimataifa manula anaokoa jahazi kuna mechi aliokoa penalties mbili anafanya save nyingi hyo ndo kazi yake sasa we unalaumu mabeki na viungo wakabaji basi degea pale man u angekuwa kama unavyosema ingekuwa kila mechi man u wanaondoka vichwa chini maana mabeki hana ila anafanya save kama kipa anavyotakiwa kufanya kakolanya ni tatizo kwa upande wangu.
 
Mchawi ni Matola hawez kumshaur kocha, alaf ndo ana kibarua cha kudumu pale Simba.

Kweli Kapombe anakaa bench? Kyombo anacheza dakk 60?

CEO ujuaji mwingi.. Tumemkosa SOPU tukabeba Kyombo, Tumemkosq Adebayor, Aziz Ki na Manzoki.
Sopu yeye mwenyewe ndo alikataa simba na yanga maana alishawahi kuwa simba na walikuwa wanamuweka bench dogo kaona mbali.
 
Mkisha fungwa mnalimbilia CAF as if kuna cha maana mmefanya huko
Hata Madrid kwenye league anafungwa na Barcelona mbovu tena ya watoto magoli mengi tu ila akija UEFA utawakataa soka wanalocheza nyie mmeamua kuwekeza kwenye derby simba kimataifa hakuna shida kila mtu na choice yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…