ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Si Yanga ni wabovu sasa kama unafungwa na mbovu wewe tukuiteje?Kwa hyo simba kufungwa na yanga ndo ishakuwa mbovu hvyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si Yanga ni wabovu sasa kama unafungwa na mbovu wewe tukuiteje?Kwa hyo simba kufungwa na yanga ndo ishakuwa mbovu hvyo
Nguvu mojaNdo Mpira. Vijana Japo Wamepoteza Lkn Strong Message Wametoa KWAMBA HUU MOTO NI MPAKA SEMI FAINO CAF. Ndo mana CAF waliwaalika ARUSHA. Yes Mwaka huu Hawataishia Quarter.....SEMI tu.
Hii ni misamiati Kwa Uto..
Hili la mkude tumeliongelea. Muda mrefu lakini viongozi wamekuwa wanajifanya hawasikiiShida kubwa ya Simba ni kiungo mkabaji ambaye yuko fiti na active uwanjani kwa dk 90 sio unamtegemea mkude anae duwaa hana spidi hajui kukaba na akikaba anakabia matako,magoli yote yalifungwa huku mkude akimuangalia Mtoa pasi bila kumdistab.
Bila kumsajili Kiungo wa ukabaji katili au inonga apandishwe sita pale nyuma wacheze Onyango na Outtara tutaendelea kupigwa.Yote kwa yote Kuna kitu kimebadilika kwenye tm tumpe mwalimu muda
Hili la mkude tumeliongelea muda mrefu lakini viongozi wamekuwa wanajifanya hawasikiiShida kubwa ya Simba ni kiungo mkabaji ambaye yuko fiti na active uwanjani kwa dk 90 sio unamtegemea mkude anae duwaa hana spidi hajui kukaba na akikaba anakabia matako,magoli yote yalifungwa huku mkude akimuangalia Mtoa pasi bila kumdistab.
Bila kumsajili Kiungo wa ukabaji katili au inonga apandishwe sita pale nyuma wacheze Onyango na Outtara tutaendelea kupigwa.Yote kwa yote Kuna kitu kimebadilika kwenye tm tumpe mwalimu muda
Taabu kweli kweli napata mashaka kama ww ni shabiki wa mpira man city mwenyewe anafungwa na real Madrid tena na vitimu vidogo na ubingwa anachukua shida ni simba kufungwa na yanga lakini kufungwa kila team inafungwa.Si Yanga ni wabovu sasa kama unafungwa na mbovu wewe tukuiteje?
Kabisa sio watu wa mpira,wangekuwa watu wa mpira haya mapungufu ya toka mwaka juzi yangeshafanyiwa kazi Bora Mo asijili mwenyewe kama GSMWazungu wote pale hawahitaji kupewa mechi nyingine kwani kocha kazingua sana kumuacha Kapombe na Phiri.
Pia hakuwa na sababu kumtoa Chama.
Hata hivyo nadhani viongozi wajiuzulu maana sidhani kama ni watu wa mpira na sidhani kama wanasikia ushauri wa wachezaji wa zamani wa Simba.
Simba hatutakiwi kuwachekea hawa viongozi
Yule Try again anatakiwa akawe kiongozi wa dini na sio mpira, mpira unataka kiongozi bedui kama Hans PopeSimba viongozi wao wanajifanya wajuaji, usajili wanafanya wanavyojisikia wanasingizia mapendekezo ya kocha.
Unamtoa Thadeo umemsajili nani kuziba nafasi yake swala la ushambuliaji limeongelewa muda mrefu lakini wachezaji wanaoleta hawakidhi Bado wameendelea kujaza mawinga na viungo washambuliaji.
Kufanya mazoezi ya wazi hii imesemwa lakini wanajifanya hawasikii.
Umeandika kwa maumivu makali sana.Umeona goli la sakho lile licha ya simba kufungwa ila wametoa burudani safi kabisa derby hazitabiriki kama furaha ya Yanga nikuifunga simba halafu kimataifa mnatobolewa basi hongereni tukutane CAF kwa wakubwa huko.
Hakuna kiongozi mwenye jicho zuri la usajili kama Kaburu ila waliopo Sasa wanauza sura kwenye vyombo vya habariYule Try again anatakiwa akawe kiongozi wa dini na sio mpira, mpira unataka kiongozi bedui kama Hans Pope
Mpunguze dharau kama timu imekufunga mara 3 kwenye mechi tano umepata draw mbili unaiitaje timu mbovu?Taabu kweli kweli napata mashaka kama ww ni shabiki wa mpira man city mwenyewe anafungwa na real Madrid tena na vitimu vidogo na ubingwa anachukua shida ni simba kufungwa na yanga lakini kufungwa kila team inafungwa.
Mkisha fungwa mnalimbilia CAF as if kuna cha maana mmefanya hukoUmeona goli la sakho lile licha ya simba kufungwa ila wametoa burudani safi kabisa derby hazitabiriki kama furaha ya Yanga nikuifunga simba halafu kimataifa mnatobolewa basi hongereni tukutane CAF kwa wakubwa huko.
Simba viongozi wao wanajifanya wajuaji, usajili wanafanya wanavyojisikia wanasingizia mapendekezo ya kocha.
Unamtoa Thadeo umemsajili nani kuziba nafasi yake swala la ushambuliaji limeongelewa muda mrefu lakini wachezaji wanaoleta hawakidhi Bado wameendelea kujaza mawinga na viungo washambuliaji.
Kufanya mazoezi ya wazi hii imesemwa lakini wanajifanya hawasikii.
Anyway umesema ni maoni binafsi sawa.Habari za wakati huu wadau,
Ndugu zangu wa simba poleni sana na hongereni sana yanga mabingwa wa kihistoria kwa ushindi wa leo.
Karikoo derby imemalizika kwa ushindi wa goli 2 kwa 1 kwenye mchezo huo ilaUkiangalia mechi jinsi ilivyokuwa team ziligawana umiliki wa mpira na uchezaji katika vipindi tofauti kwa maana ya yanga kipindi cha pili na simba kipimo cha kwanza na kila team ilitumia kipindi chake vizuri na matokea kumalizika kwa yanga kushinda kwenye mechi hyo.
Licha ya simba kucheza vizuri kipindi cha kwanza ila walipoteza nafasi nyingi ambazo zingeweza kuwa magoli lakini kiyombo na kibu denis walikosa utuliku kama waliokuwa nao sakho na chama wanapoingia kwenye box au karibu na lango la mpinzani.
Izrael Patrick mwenda hakutakiwa kurudi kipindi cha pili alifanya makosa mawili kipindi cha kwanza baada ya kupiga back pass zilizoishia njiani na kuishia kwa wachezaji wa team pinzani lakini hata kwenye kushambulia na kukaba kwa wakati hakuwa na kasi na kusababisha inonga kufanya kazi yake alipokosekana kapombe alihitajika kipindi cha pili.
Simba wanahangaika na usajili ila eneo la goal kipa hawalipi kipao mbele licha ya kuwa na changamoto pale simba ukimtoa manula hakuna kipa mwenye consistency kucheza iwe kwenye league au kimataifa kakolanya ana shida ya mipira ya juu na ile ya kurudishiwa mingi anapiga nje badala ya kuanzisha mashambulizi mbadala wa manula unahitajika wasipokuwa serious simba kwenye eneo hlo yajayo yana furahisha kakolanya hafai kwenye league wala kimataifa kiwango kimeshuka huenda kukaa benchi mda mrefu kumemuathiri.
Enonga ni beki mzuri ila ana masikhara sana iwe mechi za kimataifa au za league kuu viongozi huenda wanaliona hlo tatizo ila wanalipuuzia na leo athari yake imeonekana kuna siku atakuja kuigharimu team kwenye mechi muhimu zaidi ya leo tshabalala alitakiwa aongee naye wakati mchezo ukiwa unaendelea kama captain ila badala yake mkude ndo huwa ana ongea mara kwa mara enonga asipoacha utoto yajayo yanafurahisha.
Striker za simba ni tatizo jingine aina ya uchezaji wa kibu na kiyombo unafanana ni wachezaji ambao hawana utulivu wakiwa na mpira sehemu wanayo takiwa watoe pasi wanapiga sehemu ya kupiga wanapiga chenga zisizo na maana hawana utulivu kwenye eneo la mwisho yule mzungu hafai hata ndondo cup maana hata fitness yake haipo sawa ndo maana leo ilikuwa wanakosa nafasi za wazi za kufunga na kutoa pasi.
Simba imebadilika ikiwa haina mpira inacheza vizuri kwa ku retains possession haraka na kuziba nafasi zilizo wazi mpaka pale alipotoka sadio kanoute, chama na mkude ndo hali ikaanza kubadilika maana Aziz Ki na Feisal walikuwa free na kutengeneza nafasi za magoli labda kocha wa simba kuna kitu alitaka kujaribu lakini hakikufanikiwa na simba kupoteza mchezo.
Kocha wa simba anaonekana anapenda soka la kasi team ikiwa na mpira ila katika vitu vitakavyomuondoa haraka simba ni sakata lake la kumkataa phiri na kumchezesha mzungu na kumuamini zaidi mwenda kuliko kapombe na chama anavyowaamini akiendelea hvyo hamalizi msimu hata derby ijayo anaweza asifike.
NB:Tatizo kubwa la yanga hawajui kucheza kipindi wakiwa hawana mpira kwa walivyocheza leo wakikutana na team yenye kasi kama ilivyokuwa vipers watapata tabu wanachelewa kurudi kwenye eneo la ulinzi na ku retains possession kwa haraka.
Huu sio uchambuzi ni mtazamo na maoni yangu na wewe unaruhusiwa kuweka ya kwako.
Umeongea ukweli mtupu. Mashabiki wengi wa Simba tunashindwa kuona makosa binafsi ya wachezaji wetu na kuishia kuwalaumu marefa, makocha na Barbara.Habari za wakati huu wadau,

Ukiona hivyo ujue ubovu upo vichwani mao pia,Mpunguze dharau kama timu imekufunga mara 3 kwenye mechi tano umepata draw mbili unaiitaje timu mbovu?
Kipa kazi yake si kudaka mbona kuna mechi za kimataifa manula anaokoa jahazi kuna mechi aliokoa penalties mbili anafanya save nyingi hyo ndo kazi yake sasa we unalaumu mabeki na viungo wakabaji basi degea pale man u angekuwa kama unavyosema ingekuwa kila mechi man u wanaondoka vichwa chini maana mabeki hana ila anafanya save kama kipa anavyotakiwa kufanya kakolanya ni tatizo kwa upande wangu.Anyway umesema ni maoni binafsi sawa.
Lakini kosa la Kakolanya hata mtoto mdogo anayeamini huwa wanafungwa makipa hawezi kuliona isipokuwa wewe peke yako.
Umeongea vitu vingi lakini umeshindwa kabisa kujua chanzo cha magoli yote ya Yanga ni kukosekana kwa strong DM?
Sopu yeye mwenyewe ndo alikataa simba na yanga maana alishawahi kuwa simba na walikuwa wanamuweka bench dogo kaona mbali.Mchawi ni Matola hawez kumshaur kocha, alaf ndo ana kibarua cha kudumu pale Simba.
Kweli Kapombe anakaa bench? Kyombo anacheza dakk 60?
CEO ujuaji mwingi.. Tumemkosa SOPU tukabeba Kyombo, Tumemkosq Adebayor, Aziz Ki na Manzoki.
Hata Madrid kwenye league anafungwa na Barcelona mbovu tena ya watoto magoli mengi tu ila akija UEFA utawakataa soka wanalocheza nyie mmeamua kuwekeza kwenye derby simba kimataifa hakuna shida kila mtu na choice yake.Mkisha fungwa mnalimbilia CAF as if kuna cha maana mmefanya huko