Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mtia nia wa Ubunge Jimbo la Moshi vijijini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri anayemaliza Muda wake Morris Makoyi amejikuta akizomewa na wananchi wa Kata ya Mabogini katika zoezi la Kujinadi lililomalizika jana Jioni
Mtia nia wa Ubunge Jimbo la Moshi vijijini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri anayemaliza Muda wake Morris Makoyi amejikuta akizomewa na wananchi wa Kata ya Mabogini katika zoezi la Kujinadi lililomalizika jana Agosti 3, 2025 Jioni.