Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,526
- 34,057
Gagnija,Poleni sana kwa kuondokewa na mwanahabari mkongwe Mohammed.
Laki...Library yako iko wapi?
Kwanini historia zako hutumia sana hubase sana idea za kiislam sana nini shida huwaLaki...
Upenuni nyumbani.
Pole sana Mzee wangu Mohamed.MAKTABA IMEFIWA: AL FATAH ONLINE TV IMEFIKA KUFANYA KIPINDI CHA TAAZIA YA MOHAMMED ABDULRAHMAN
Jana kutwa nzima napokea simu na msg za pole kisha kuulizwa mbona sijaandika taazia ya msiba wa Mohammed Abdulrahman.
Leo asubuhi Salim Rashid wa Al Fatah amekuja kutoka Zanzibar na boti ya kwanza kuja kufanya kipindi cha marehemu Mohammed Abdulrahman na wamenifahamisha kuwa ni documentary na wamezungumza na watu wengi mmojawapo akiwa Othman Miraj ambae alifanya kazi Sauti ya Ujerumani kwa miaka mingi.
Allah amfanyie wepesi ndugu yetu.
Amin.
View attachment 3408773
View attachment 3408776
Kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali A.S mkombozi wa waislamu aliuwawa kikatili kuutetea, kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma, ukandamizaji, unyanyasaji na uonevu.MAKTABA IMEFIWA: AL FATAH ONLINE TV IMEFIKA KUFANYA KIPINDI CHA TAAZIA YA MOHAMMED ABDULRAHMAN
Jana kutwa nzima napokea simu na msg za pole kisha kuulizwa mbona sijaandika taazia ya msiba wa Mohammed Abdulrahman.
Leo asubuhi Salim Rashid wa Al Fatah amekuja kutoka Zanzibar na boti ya kwanza kuja kufanya kipindi cha marehemu Mohammed Abdulrahman na wamenifahamisha kuwa ni documentary na wamezungumza na watu wengi mmojawapo akiwa Othman Miraj ambae alifanya kazi Sauti ya Ujerumani kwa miaka mingi.
Allah amfanyie wepesi ndugu yetu.
Amin.
View attachment 3408776
Ashampoo...Kwanini historia zako hutumia sana hubase sana idea za kiislam sana nini shida huwa
The Worst,Nilikuwa napenda sana kumsikiliza kipindi nikiwa bado na muda wa kusikiliza FM radio,Mungu amrehemu.
Kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali A.S mkombozi wa waislamu aliuwawa kikatili kuutetea, kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma, ukandamizaji, unyanyasaji na uonevu.
Hapo Chini akielekea Karbala the battle of Ashura.
View attachment 3411152
View attachment 3411153View attachment 3411154