Maktaba ya mtandaoni kwa wanafunzi wa vyuo

UDSM unaanza kuletea watu PAST PAPERS!!!??? Mmekuwaje nyie vijana wa UDSM siku hizi! Nani anayewatengenezea hayo materials (madesa)? Ni walimu wenu ama mnatoa katika tuition mnazosoma (maana naambiwa kuna watu wanasoma tuition maeneo ya Msewe)?
 
Me mwenyewe wkt niko first year udsm nimewah kusoma tution ya accounts kule changanyikeni.
 
Mheshimiwa tulia...waachie watu wa UDSM....Nadhani umeona title inahusu WANA UDSM sasa wewe sijui wa wapi umeingia huku kutafuta ni nini????
 
Mheshimiwa tulia...waachie watu wa UDSM....Nadhani umeona title inahusu WANA UDSM sasa wewe sijui wa wapi umeingia huku kutafuta ni nini????[/QUOTE
, kama ni mambo ya wana udsm peleken nkuruma hall ndo mjadilie huko, mtoe upuuz wenu hapa
 
Me mwenyewe wkt niko first year udsm nimewah kusoma tution ya accounts kule changanyikeni.

Mheshimiwa tulia...waachie watu wa UDSM....Nadhani umeona title inahusu WANA UDSM sasa wewe sijui wa wapi umeingia huku kutafuta ni nini????

UDSM unaanza kuletea watu PAST PAPERS!!!??? Mmekuwaje nyie vijana wa UDSM siku hizi! Nani anayewatengenezea hayo materials (madesa)? Ni walimu wenu ama mnatoa katika tuition mnazosoma (maana naambiwa kuna watu wanasoma tuition maeneo ya Msewe)?

jaman kama ndo hali imekua hivo basi chuo kinakufa mie nimemaliza 2008 hakukuwa na ujinga huo wa tution. kama ni hand out za lectures hapo sawa
 
tuition chuo..??? mmmh akil zetu zimetekwa na smart phone. hatufikir kabisa
 
jaman kama ndo hali imekua hivo basi chuo kinakufa mie nimemaliza 2008 hakukuwa na ujinga huo wa tution. kama ni hand out za lectures hapo sawa

Graduated in 2008 and 2011 respectively but never seen this kind of behaviour. What is wrong with this generation? Kiujumla ningekuwa mmoja wa wahadhiri wa hizo course wote wanaosoma tuition na kushindwa kujisomea pale kwenye Library yetu kongwe (Siku hizi sijui inaitwa Hurbert Chagula Library kama sikosei) wangekula SUPP hadi wakasimulie.
 
Mheshimiwa tulia...waachie watu wa UDSM....Nadhani umeona title inahusu WANA UDSM sasa wewe sijui wa wapi umeingia huku kutafuta ni nini????

Hiyo UDSM umeifahamu lini hadi ujue nani ni nani na kasoma wapi ama anajihusishaje na UDSM? Tulia. Utachekwa. Ndiyo nyie wenye madesa nini? Lecturer akitoka tu kwenye lecture mnajikimbiza Dr/Prof, tunaomba handout...kama ni binti acha tabia hizo maana wenzio waliishia kuvuliwa na hawakupata afueni kwenye shule kama ni mwanaume komaa na shule.
 
Back
Top Bottom