Nimevitoa naangalia nianze na kipi mkuu,Hahahaha.
Vitoe uanze kuvisoma.
Hoja nzuri kuhusu vitabu, lakini kwa mwenye vitabu 8,000 nyumbani, popote atakapoanzia hapatatoa picha halisi.Hahahaaa umenichekesha sana.
Nilitegemea walau utakuwa conciliatory.
But hey, you do you.
Yani umenipa ahueni sana kujiona siko peke yangu, kuna non fiction fulani mpaka nakosa sehemu ya kuziweka nimeweka kwenye ma boksi.This is nice. I like that it's minimalist.
I'm a book hoarder.😅😅
This is horrifying! I can feel my skin crawl.My mother being illiterate, used to keep some books which she collected from here and there in her big box.. i remember cutting pictures from those books and sticking them in my exercise books😭
Let me start reading... Though JF takes a lot of my time.
This is nice. I like that it's minimalist.
I'm a book hoarder.😅😅
Yani umenipa ahueni sana kujiona siko peke yangu, kuna non f.iction fulani mpaka nakosa sehemu ya kuziweka nimeweka kwenye ma boksi.
Na hapo basement nzima imejaa bookshelves.
As a matter of fact I do.Do you have ‘The Perception Deception’ in your collection?
Or you’re not into David Icke’s conspiratorial type of shit?
Yaani tena vitabu vya non fiction ndio ninavyo vingi. Ma Homo Deus, quantum physics na jamii zake. Huwa siwaelewi watu wanaouza na kugawa vitabu.Yani umenipa afueni sana kujiona siko peke yangu, kuna non f.iction fulani mpaka nakosa sehemu ya kuziweka nimeweka kwenye ma boksi.
Na hapo basement nzima imejaa bookshelves.
We najua vyako vya Danielle Steel.Yaani tena vitabu vya non fiction ndo ninavyo vingi. Ma Homo Deus, quantum physics na jamii zake. Huwa siwaelewi watu wanaouza na kugawa vitabu.
Sio sana. Nimesoma fiction mpaka nimechoka. No longer excites me. Bora non fiction blows my mind.We najua vyako vya Danielle Steel.
😂😂😂. Siwezi kugawa au kuuza vitabu. Nimeshindwa kabisa. Na utunzaji wa vitabu ni full time job. Ndo maana vitabu vyangu huwa navipeleka nyumbani kwa wazazi kwasababu wana library system ya kutunza vitabu.
Sasa unasoma nini katika non fiction?Sio sana. Nimesoma fiction mpaka nimechoka. No longer excites me. Bora non fiction blows my mind.
Wewe kweli ni minimalist. Congrats.Mimi nikiwa na vitabu vingi sana vitaishia kuwa cluttered all over the place.
And I hate clutter.
Plus, I don’t see any utility in keeping books that I don’t need or use anymore.
Keeping it simple [and neat] is my motto.