Maktaba yangu ya nyumbani

Maktaba yangu ya nyumbani

Hahahaha.

Vitoe uanze kuvisoma.
Nimevitoa naangalia nianze na kipi mkuu,
J. Kaufman, Kottler John, Mintzeber, Ulrich D, Eugene F. Graham, Frank Wood, Mark P. Holzman, Robert T. Kisyosaki, Eduardo Mondlane.

Ama hivi vya kiswahili

Au riwaya za Kibongo Fadhili Msiri wa Naugua (Ali K. Chuma), Shida (Balisidya,) Kisima cha Giningi (M. Abdallah) Kichwa maji (E. Kezilahabi)


Na nina list ya vitabu vingi tu kwenye soft copies.
 
Hahahaaa umenichekesha sana.

Nilitegemea walau utakuwa conciliatory.

But hey, you do you.
Hoja nzuri kuhusu vitabu, lakini kwa mwenye vitabu 8,000 nyumbani, popote atakapoanzia hapatatoa picha halisi.

Zaidi wasiojulikana wanachukua kila habari na kuiunganisha. Mara tu ume throw BBQ party unashangaa watu wanaangalia bookshelf wanafananisha na aliyotuma Kiranga JF.
 
My mother being illiterate, used to keep some books which she collected from here and there in her big box.. i remember cutting pictures from those books and sticking them in my exercise books😭
Let me start reading... Though JF takes a lot of my time.
This is horrifying! I can feel my skin crawl.
 
This is nice. I like that it's minimalist.
I'm a book hoarder.😅😅

Minimalism is the way to go!

Kwa kweli sipendi kuwa na vitabu vingi kiasi kwamba hadi vingine unakuwa wala huvihitaji.

Hivyo ndivyo ilivyokuwa when growing up.

Vitabu vingi ajabu. Siku moja kwa utundu wangu nikasema ngoja nikichukue kimoja nione kinahusu nini.

Si nikaishia kung’atwa na tandu tu. Damn it. That thing hurt like a mugh.

Kwangu sitaki tena mavitabu mengi.

Hata baadhi ya textbooks niliishia kuwauzia watu wa college bookstore.
 
Yani umenipa ahueni sana kujiona siko peke yangu, kuna non f.iction fulani mpaka nakosa sehemu ya kuziweka nimeweka kwenye ma boksi.

Na hapo basement nzima imejaa bookshelves.

Do you have ‘The Perception Deception’ in your collection?

Or you’re not into David Icke’s conspiratorial type of shit?
 
Do you have ‘The Perception Deception’ in your collection?

Or you’re not into David Icke’s conspiratorial type of shit?
As a matter of fact I do.

Sadly though, of late nakuwa nakumbuka au kukumbushwa vitabu kama hivi, halafu naweza kukitafuta wiki nisikione.

Kuna sehemu na argue point, nataka kufanya reference kwenye kitabu, najua point hii niliisoma nataka kuweka reference mpaka page number kwa wanaotaka kusoma, nikitafuta kitabu katika bahari ya vitabu 8,000 sikioni.

Nikifikiria kuanza kufungua maboksi naghairi.

The struggle is real!
 
Yani umenipa afueni sana kujiona siko peke yangu, kuna non f.iction fulani mpaka nakosa sehemu ya kuziweka nimeweka kwenye ma boksi.
Na hapo basement nzima imejaa bookshelves.
Yaani tena vitabu vya non fiction ndio ninavyo vingi. Ma Homo Deus, quantum physics na jamii zake. Huwa siwaelewi watu wanaouza na kugawa vitabu.
 
Yaani tena vitabu vya non fiction ndo ninavyo vingi. Ma Homo Deus, quantum physics na jamii zake. Huwa siwaelewi watu wanaouza na kugawa vitabu.
We najua vyako vya Danielle Steel.
 
Nyani Ngabu,
😂😂😂. Siwezi kugawa au kuuza vitabu. Nimeshindwa kabisa. Na utunzaji wa vitabu ni full time job. Ndio maana vitabu vyangu huwa navipeleka nyumbani kwa wazazi kwasababu wana library system ya kutunza vitabu.
 
IMG_2327.JPG
 
😂😂😂. Siwezi kugawa au kuuza vitabu. Nimeshindwa kabisa. Na utunzaji wa vitabu ni full time job. Ndo maana vitabu vyangu huwa navipeleka nyumbani kwa wazazi kwasababu wana library system ya kutunza vitabu.

Mimi nikiwa na vitabu vingi sana vitaishia kuwa cluttered all over the place.

And I hate clutter.

Plus, I don’t see any utility in keeping books that I don’t need or use anymore.

Keeping it simple [and neat] is my motto.
 
Mimi nikiwa na vitabu vingi sana vitaishia kuwa cluttered all over the place.
And I hate clutter.
Plus, I don’t see any utility in keeping books that I don’t need or use anymore.
Keeping it simple [and neat] is my motto.
Wewe kweli ni minimalist. Congrats.
 
Back
Top Bottom