Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,526
- 34,057
MAKTABA YAPOKEA KITABU CHA TIPPU TIP KUTOKA KWA HAMISI DELGADO
Leo nimepokea kitabu, "Tippu Tip: Ivory, Slavery and Discovery," kutoka kwa rafiki yangu Hamisi Delgado.
Nimebahatika kuingia ndani ya nyumba ya Tip Tippu Mji Mkongwe Zanzibar na nje ya hii nyumba yake ndipo lilipo kaburi lake.
Delgado kwa miaka mingi alikuwa Ulaya kama mwanafunzi kisha akawa Mwalimu wa Chuo Kikuu.
Delgado alijaaliwa kipaji kikubwa sana cha kuchezea mpira.
Vijana wa Dar es Salaam ya 1970s watamkumbuka akicheza Benfica na Congo United.
Delgado hapungui Dar es Salaam na kwao Tabora na kila akija Tanzania atafika Maktaba.
Sijapata kumuuliza kitabu chochote akaniambia kuwa hakipo katika maktaba yake.
Ndipo nilipomtajia kitabu cha Tippu Tip akaniahidi kuniletea.
Licha ya maktaba ya vitabu Delgado ana maktaba kubwa sana ya muziki wa zamani wa wanamuziki kama Salum Abdallah na Cuban Marimba Band, Salum Zahoro na Kiko.Kids, Ahmed Kipande na Kilwa Jazz Band.
Nilimuuliza siku moja historia ya nyimbo ya Salum Abdallah Abdallah aliyoimba kuhusu Eid.
Nyimbo hii ilikuwa maarufu sisi tukiwa watoto na ilikuwa ikipigwa kwenye radio kuashiria kuwa Eid imeingia.
Delgado alinifahamisha kuwa nyimbo hiyo ulirekodiwa Mombasa mwaka wa 1957 na label ikifahamika kama Mzuri mali ya Muhindi mmoja anaitwa Shah.
Nimeshika Album ya Salum Zahoro na Kiko Kids ya Tabora zawadi kutoka kwa Delgado na picha ya mwisho ni kaburi la Tippu Tip.
See less
View attachment 3588230
View attachment 3588232
View attachment 3588234
View attachment 3588235
Huyu Hamis Delgado anaonekana bado kijana sana.MAKTABA YAPOKEA KITABU CHA TIPPU TIP KUTOKA KWA HAMISI DELGADO

Wajinga...Huyu Hamis Delgado anaonekana bado kijana sana.
Tuseme, kwa kukisia, ni uzao wa 1950s. Au unasemaje mzee Mohamed Said?
Historia imetunzwa vyemaMAKTABA YAPOKEA KITABU CHA TIPPU TIP KUTOKA KWA HAMISI DELGADO
Leo nimepokea kitabu, "Tippu Tip: Ivory, Slavery and Discovery," kutoka kwa rafiki yangu Hamisi Delgado.
Nimebahatika kuingia ndani ya nyumba ya Tip Tippu Mji Mkongwe Zanzibar na nje ya hii nyumba yake ndipo lilipo kaburi lake.
Delgado kwa miaka mingi alikuwa Ulaya kama mwanafunzi kisha akawa Mwalimu wa Chuo Kikuu.
Delgado alijaaliwa kipaji kikubwa sana cha kuchezea mpira.
Vijana wa Dar es Salaam ya 1970s watamkumbuka akicheza Benfica na Congo United.
Delgado hapungui Dar es Salaam na kwao Tabora na kila akija Tanzania atafika Maktaba.
Sijapata kumuuliza kitabu chochote akaniambia kuwa hakipo katika maktaba yake.
Ndipo nilipomtajia kitabu cha Tippu Tip akaniahidi kuniletea.
Licha ya maktaba ya vitabu Delgado ana maktaba kubwa sana ya muziki wa zamani wa wanamuziki kama Salum Abdallah na Cuban Marimba Band, Salum Zahoro na Kiko.Kids, Ahmed Kipande na Kilwa Jazz Band.
Nilimuuliza siku moja historia ya nyimbo ya Salum Abdallah Abdallah aliyoimba kuhusu Eid.
Nyimbo hii ilikuwa maarufu sisi tukiwa watoto na ilikuwa ikipigwa kwenye radio kuashiria kuwa Eid imeingia.
Delgado alinifahamisha kuwa nyimbo hiyo ulirekodiwa Mombasa mwaka wa 1957 na label ikifahamika kama Mzuri mali ya Muhindi mmoja anaitwa Shah.
Nimeshika Album ya Salum Zahoro na Kiko Kids ya Tabora zawadi kutoka kwa Delgado na picha ya mwisho ni kaburi la Tippu Tip.
See less
View attachment 3588230
View attachment 3588232
View attachment 3588234
View attachment 3588235
Castr,Chief siyo nyimbo ni wimbo.
Wimbo ni umoja, nyimbo ni wingi
Mkuu unamaanisha kwako hizi sentensi mbili ni sawa?Castr,
Mara nyingi hili nimeeleza hapa jamvini.
Mimi nazungumza Kiswahili cha pwani.
Mimi sina masaa nina saa.
Wala sina mapungufu nina upungufu.
Ndivyo hivyo hivyo sina wimbo nina nyimbo.
Castr,Mkuu unamaanisha kwako hizi sentensi mbili ni sawa?
Hiyo nyimbo ni nzuri.
Hizo nyimbo ni nzuri.