Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,526
- 34,057
Beira...Mzee said ivi yule mrembo uliyemuoa ramadhan ya mwaka huu bado uko naye au baada ya ramadhan kuisha ukamtupa nje kama kawaida yako
Smart...
Blender,Shikamoo Mzee Mohamed Said .
Kindly kama una pdf ya hicho kitabu , nakiomba humu JF 🙏
Mzee mwenziyo juma kapuya 84 miaka kaoa toto la miaka 16Beira...
Mtu Matata sana wewe.
Miaka 74 nipendwe na mrembo?
Kwa kipi nilichonacho?
Kisha umeongeza ati ni kawaida yangu.
Wewe una kipaji cha kuchekesha.
Okay nikapata wasaa nitakuja maktba kwako , kujifunza🙏Blender,
Marhaba.
Bahati mbaya sina.
Emily,Mohamed Said mzee wa hekima na busara nyingi.
Shkamoo babu, mjukuu ndo nimeandika!
Emily,Mohamed Said mzee wa hekima na busara nyingi.
Shkamoo babu, mjukuu ndo nimeandika!
Okay nikapata wasaa nitakuja maktba kwako , kujifunza🙏
Blender,Okay nikapata wasaa nitakuja maktba kwako , kujifunza🙏
Hahahaaa!! Mzee me ni under17Emily,
Wewe ni mwanangu.
Wanao ndiyo wajukuu zangu.
Emily...Hahahaaa!! Mzee me ni under17
Sawasawa mzee wangu.Emily...
Bado ni mwanangu bado ni mkubwa kuwa mjukuu wangu.