Tunalaumu Walimu kuwa chanzo cha mdororo wa elimu hapa Tanzania. Je vyombo vilivyoundwa ili kusaidia kuboresha elimu (kama vile Maktaba za Umma) vinatekeleza majukumu vilivyopewa?
Sra ya Elimu, 1995 inaitaka Maktaba (Tanzania Library Service) kuanzisha na kusimamia maktaba za shul. Hiyo imekuwa ndoto. Mbzya zaidi, hata Maktaba Kuu ya Tifa - Maktaba Complex hakuna vitabu, kuna nakala si zaidi ya kumi hususani vya kufundishia. Ili kupata kitabu inabidi usubiri mtu amaloze kusoma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.