Makubaliano ya kusitisha mapigano yataendelea kama ilivyopangwa huko Gaza

⚡️🇺🇸🇮🇱 NDANI TU: Mwanahabari Lior Kordner alisema katika podikasti ya gazeti la Haaretz:

Trump aliingilia kati kwa nguvu ili kumaliza vita, na wafuasi wote wa mrengo wa kulia walikuwa wakiishi katika ulimwengu wa ndoto kuhusu kurudi kwake. Walikuwa wakisema kwamba mara tu Trump atakaporudi, wakazi wote wa Gaza watahamishwa, Hamas watapiga magoti, na tutawaangushia jehanamu.

Lakini kilichotokea ni kwamba kuzimu iliachiliwa juu yetu. Trump, akiwa na baridi kali, alimtuma mjumbe wake, Whitcoff, ambaye alijifanya kama mwenye nyumba ambaye kodi yake haikulipwa na akaja kuchukua pesa zake. Alimpigia simu Netanyahu siku ya Ijumaa jioni na kumfahamisha kwamba angefika kesho yake saa 10 alfajiri. Netanyahu alijaribu kueleza kuwa ilikuwa Jumamosi na kwamba hawezi kukutana na mtu yeyote, lakini Whitcoff kwa kiburi na jeuri alijibu kwamba Netanyahu lazima awepo na kwamba. suala la Jumamosi halikumhusu.

Kilichofuata kilikuwa kisicho na kifani. Netanyahu alifika ofisini kwake Jumamosi saa 10 alfajiri, jambo ambalo halikuwahi kutokea. Yote Whitcoff alisema wakati huo ni: "Trump anataka mpango huo." Na huo ndio ukawa mwisho wake.

Credit: @tamerqdh
Na haaretz hawasemi uwongo,huko nyuma waliwaita Hamas wapigania uhuru, netanyahu kawawekea vikwazo,hicho kitaifa jeuri kinatoa marekani
 
Trump kawambia kina Netanyahu, tukiendelea kuwapa silaha mnauwa raia tu Hamas hamuwawezi achaneni kudeka.
 
Watu kama Itamar awawezi kuwapangia jamiii ya kimataifa iliostarabika watu kama yeye ktk dunia ni wachache awapaswi kupewa nafasi ivi mfano pale Israel kufanyike uchaguzi baada mieez 3 kutoka sasa Je waisrael wanaweza kumchagua tena Benjamin Netanyahu apana wameshajua akili za Netanyahu azifai kuongoza vita vita avina faida zaid kuwapoteza watoto wawatu vitani biashara zimefungwa watu wamekufa wengine miguu mikono macho vimeondoka na vita nini waisrael wamepata O pale wakiulizwa mlikuwa mnapigania nini jibu akuna mana GAZA sasa inalejea kwa wapalestina kama zamani je Netanyahu au Itamar au Smotrich wasingewachagua mjue hii vita isingekuwepo lkn hii vita imechochewa na Benjamin na mwenzie awa w3 Itamar kila mala anaenda vamia msikiti ya waislamu kila siku nyumba za wapalestina zinavunjwa palepale Gaza walianza kutaka kupola ardhi kabla ya 7octb yote ayo ndio ujinga kuchagua viongozi wenye chuki mwisho mnagalamika wengi zaid uchumi unasinyaa wapalestina ni watu kama wao walivo nao wanamatumaini kuishi kwa aman ktk ardhi yao sasa waisrael wenye chuki bado awajalidhika na ardhi waliopola wanataka wachukue yote ardhi na wapalestina wawaondoe kabisa!!!!! Kuchagua viongozi wenye chuki yumkin kwasasa waisrael wakawa makini isije kutokea maafa kama aya yasasa Hamas pia wanapenda kutokea viongozi kama awa kina Netanyahu au Itamar na Smatrich jamaa wanapenda ugomvi sana sasa wamejua Hamas wapo tayali kwa vita na awaogopi kufa kama wameweza kuvamia kambi za JESH 4 wakiwa na silaha zakawaida na kuzitwaa izo kambi kwasasa akili zitawakaa sawa awatowachokoza tena watakaa kwakutulia,
 
Mpuuzi sana wanadekezwa sana na Marekani.

Naona Trump kawachoka
Sasa.

Kwa mujibu wa gazeti la Haaretz, Israel inatarajiwa kuachilia wafungwa 600 wenye vifungo vinavyozidi miaka 15, wafungwa 290 wanaotumikia vifungo vya maisha, na wafungwa wa kike 100 kutoka Ukanda wa Gaza.

Zaidi ya hayo, lori 600 za misaada zitaingia kila siku Ukanda wa Gaza, na hospitali za Misri zitapokea Wapalestina waliojeruhiwa kutoka Gaza.
 
Kila mmoja ana haki kuishi kwa aman na kupewa heshima stahiki tatizo kubwa naliona waisrael wanatumia nguvu nyingi kuuwadaa ulimwengu kuwa wao ni watu specia sasa wanataka kama vile ulimwengu umeshajua wao ndio special ivo sisi wengine nikama tuwapishe wao waisrael lkn sasa ukitaka kuutafuta uwo u special wao unagundua ni watu duni tu kama sisi tu wa uku vijijini awana mahajabu yoyote ni Wazungu tu kama wazungu wengine wabaguzi wa langi kama walivo wazungu wengine wanaupenda Ushoga kama walivo Wazungu wengine wezi wa rasilimali kama walivi wengine wezi wa technology kama walivo wengine wanaiba maharifa ya wengine kisha wanajitangaza kama niwao ndio wamevumbua ni waongo kuliko wadada wa kizigua au wazalamo!!!! Waoga wakufa kuliko mzungu yoyote!!!!
 
Mpuuzi sana wanadekezwa sana na Marekani.

Naona Trump kawachoka
Sasa.

Kwa mujibu wa gazeti la Haaretz, Israel inatarajiwa kuachilia wafungwa 600 wenye vifungo vinavyozidi miaka 15, wafungwa 290 wanaotumikia vifungo vya maisha, na wafungwa wa kike 100 kutoka Ukanda wa Gaza.

Zaidi ya hayo, lori 600 za misaada zitaingia kila siku Ukanda wa Gaza, na hospitali za Misri zitapokea Wapalestina waliojeruhiwa kutoka Gaza.
Dawa yao wamepewa na Hamas sasa wanatekeleza yale yale Hamas walitaka pia mm niliwai sema apa kuwa Tramp uyu wa 2025 atakuwa tofaut na yule wa miaka ile alimbeba sana Netanyahu lkn sasa apana Benjamin Netanyahu anajua Tramp anamchukia binafsi yeye kama Netanyahu nikasema ili Tramp aendelee kuipigania Israel alaka wamtoe uyo Netanyahu aje kiongozi mpya uyo ndio Tramp anafanyanae kazi au mikakati ya kuijum Palestina lkn sio Netanyahu!!!!!
 
Viongoz wa marekani na Israel wote wapo kikaz lengo Lao kuujum uhuru wa Palestine na raia wapalestina ndio kazi yao kuuu. Sio kusaidia Palestine!!!
 
Back
Top Bottom