Makubaliano ya kusitisha mapigano yataendelea kama ilivyopangwa huko Gaza

Na haaretz hawasemi uwongo,huko nyuma waliwaita Hamas wapigania uhuru, netanyahu kawawekea vikwazo,hicho kitaifa jeuri kinatoa marekani
 
Na haaretz hawasemi uwongo,huko nyuma waliwaita Hamas wapigania uhuru, netanyahu kawawekea vikwazo,hicho kitaifa jeuri kinatoa marekani
Trump kawambia kina Netanyahu, tukiendelea kuwapa silaha mnauwa raia tu Hamas hamuwawezi achaneni kudeka.
 
Watu kama Itamar awawezi kuwapangia jamiii ya kimataifa iliostarabika watu kama yeye ktk dunia ni wachache awapaswi kupewa nafasi ivi mfano pale Israel kufanyike uchaguzi baada mieez 3 kutoka sasa Je waisrael wanaweza kumchagua tena Benjamin Netanyahu apana wameshajua akili za Netanyahu azifai kuongoza vita vita avina faida zaid kuwapoteza watoto wawatu vitani biashara zimefungwa watu wamekufa wengine miguu mikono macho vimeondoka na vita nini waisrael wamepata O pale wakiulizwa mlikuwa mnapigania nini jibu akuna mana GAZA sasa inalejea kwa wapalestina kama zamani je Netanyahu au Itamar au Smotrich wasingewachagua mjue hii vita isingekuwepo lkn hii vita imechochewa na Benjamin na mwenzie awa w3 Itamar kila mala anaenda vamia msikiti ya waislamu kila siku nyumba za wapalestina zinavunjwa palepale Gaza walianza kutaka kupola ardhi kabla ya 7octb yote ayo ndio ujinga kuchagua viongozi wenye chuki mwisho mnagalamika wengi zaid uchumi unasinyaa wapalestina ni watu kama wao walivo nao wanamatumaini kuishi kwa aman ktk ardhi yao sasa waisrael wenye chuki bado awajalidhika na ardhi waliopola wanataka wachukue yote ardhi na wapalestina wawaondoe kabisa!!!!! Kuchagua viongozi wenye chuki yumkin kwasasa waisrael wakawa makini isije kutokea maafa kama aya yasasa Hamas pia wanapenda kutokea viongozi kama awa kina Netanyahu au Itamar na Smatrich jamaa wanapenda ugomvi sana sasa wamejua Hamas wapo tayali kwa vita na awaogopi kufa kama wameweza kuvamia kambi za JESH 4 wakiwa na silaha zakawaida na kuzitwaa izo kambi kwasasa akili zitawakaa sawa awatowachokoza tena watakaa kwakutulia,
 
Mpuuzi sana wanadekezwa sana na Marekani.

Naona Trump kawachoka
Sasa.

Kwa mujibu wa gazeti la Haaretz, Israel inatarajiwa kuachilia wafungwa 600 wenye vifungo vinavyozidi miaka 15, wafungwa 290 wanaotumikia vifungo vya maisha, na wafungwa wa kike 100 kutoka Ukanda wa Gaza.

Zaidi ya hayo, lori 600 za misaada zitaingia kila siku Ukanda wa Gaza, na hospitali za Misri zitapokea Wapalestina waliojeruhiwa kutoka Gaza.
 
Kila mmoja ana haki kuishi kwa aman na kupewa heshima stahiki tatizo kubwa naliona waisrael wanatumia nguvu nyingi kuuwadaa ulimwengu kuwa wao ni watu specia sasa wanataka kama vile ulimwengu umeshajua wao ndio special ivo sisi wengine nikama tuwapishe wao waisrael lkn sasa ukitaka kuutafuta uwo u special wao unagundua ni watu duni tu kama sisi tu wa uku vijijini awana mahajabu yoyote ni Wazungu tu kama wazungu wengine wabaguzi wa langi kama walivo wazungu wengine wanaupenda Ushoga kama walivo Wazungu wengine wezi wa rasilimali kama walivi wengine wezi wa technology kama walivo wengine wanaiba maharifa ya wengine kisha wanajitangaza kama niwao ndio wamevumbua ni waongo kuliko wadada wa kizigua au wazalamo!!!! Waoga wakufa kuliko mzungu yoyote!!!!
 
Dawa yao wamepewa na Hamas sasa wanatekeleza yale yale Hamas walitaka pia mm niliwai sema apa kuwa Tramp uyu wa 2025 atakuwa tofaut na yule wa miaka ile alimbeba sana Netanyahu lkn sasa apana Benjamin Netanyahu anajua Tramp anamchukia binafsi yeye kama Netanyahu nikasema ili Tramp aendelee kuipigania Israel alaka wamtoe uyo Netanyahu aje kiongozi mpya uyo ndio Tramp anafanyanae kazi au mikakati ya kuijum Palestina lkn sio Netanyahu!!!!!
 
Viongoz wa marekani na Israel wote wapo kikaz lengo Lao kuujum uhuru wa Palestine na raia wapalestina ndio kazi yao kuuu. Sio kusaidia Palestine!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…