Makubwa haya nayo

Mbona hii imekaa kinegative sana, au jamaa anaoa kwa shingo upande?? Dah.....inatia wasiwasi kwa kweli!!
 
tutajie kabila la upande wa bwana harusi.... nahisi katakua kakabila fulani ka kaskazini... ndio walivyo..

oh boy, not this time again..!
 
Hii ndoa huenda bwana harusi kalazimishwa.
 
bwana harusi alikua kachomoa, kuchelewa ilisababishwa na vikao vya kumshawishi.
 
Nahisi huyo Bwana harusi mtarajiwa ana mahusiano au amesababisha mimba nje ya huyo mkewe mtarajiwa kwa hiyo siku ya 'send off' alienda kusuluhisha yeye na hao ndugu zake, haiingii akilini wote kuwa hawapatikani kwa simu.
 
C'est vraiment dommage! Vibaya jamani. Lo!
 
Bwana harusi alipitia hospitali kumuona mkewe aliyesemekana kuwa tasa kajifungua.
 
Lol! Chasing a man is a serious bt useless business! Dada ataandika kitabu,manake baba huyo ataharibikiwa na gari ijumaa jioni litengemae jumapili mchana ndo arudi home.
 


This is africa, simple answers to critical questions!!!
 
duh! god fobidoooooooooooooo mana ningefufa kwa bp
 
From Kimara to Mbezi Beach
Hilo Foleni lake .... Shukuru Mungu alifika maana mi nisingekuja kabisa
 
Ni kukosa uungwana na ustaarabu. Pia ni indicator kuwa huendi ndg hawamkubali sana bi harusi.
 
I cant imagine kichwa cha bibi harusi kilivyoenda resi...pole zake kwa kuchagua hicho kimeo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…