Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Mbona hii imekaa kinegative sana, au jamaa anaoa kwa shingo upande?? Dah.....inatia wasiwasi kwa kweli!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tutajie kabila la upande wa bwana harusi.... nahisi katakua kakabila fulani ka kaskazini... ndio walivyo..
Habari za asubuhi mabibi na mabwana.poleni na hongereni kwa kazi.
Jana nimehudhuria Send Off ya ndugu yangu.sherehe ilipangwa kuanza saa kumi na mbili na nusu jioni .lakini tuli lazimika kuanza sherehe saa nne na nusu usuku baada ya bw harusi mtarajiwa na wajumbe wake kuchelewa kufika ukumbini.wageni hao pia walikuwa hawapatikani katika simu zao.ikawa patashika kwa ndugu wa bi harusi na bi harusi mwenyewe.mpaka make- ups zilianza kufutika kwa machozi.
cha kushangaza wageni walipofika walisema kuwa gari liliharibika njiani sasa nikajiuliza.
-kutoka kimara mpaka mbezi beach siyo porini kwanini usitafute usafiri mwingine hata bajaj kwa muhusika mkuu afike?
-wageni wote hawakutumia gari moja kwanini wasije wachache kwanza ukumbini.
kwakweli tulijisikia vibaya sana.uzembe gani huo na disorganisation kwa kijana anayetarajia kutunza family.
why people marry?
why people marry?
poleni sanaHeri nyie alichelewa sis bibi harusi katukimbia loh
nami ndio mtazamo wangu maana singefanya hivyo angewajulisha kwa simu kuwa wamepata tatizo watachelewaHii ndoa huenda bwana harusi kalazimishwa.