makubwa: Lucky is a woman who is a man's last love; lucky is a man who is a woman's first love.

minda

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2009
Posts
1,068
Reaction score
67
kwamba mwanamke afaidie penzi la mwanaume ni yule wa mwisho kati ya wale aliowapitia huyo dume? kwamba mwanaume afaidie penzi la mwanamke ni yule wa kwanza kwa vile 'njia' itakuwa bado haijaiharibiwa? haya ni maneno kwenye 'signature' ya mkuu mmoja. guess who?
 
Kheeee....kweli makubwa. Sasa hapo mkikutana kwy age ya utu uzima mkapendana ina maana mmoja atakua hana true love?? Kwahiyo manatoa changamoto hiyo kwa wanaume vikongwe wakatafute vibint ambavyo ni bikra ambavyo kwa hali ya sasa ni kuanzia form II kushuka chini ambako ni primary, tunaelekea wapi sasa na hizo theory.......Makubwa tena sasa hayo!!
Napita tu!
.
 
asante mkuu kwa changamoto hiyo hasa kwa wakubwa hata hivyo kwa upande wa 'watoto' mimi wewe na yule tuko 4bidden.
 
Kheeee....kweli makubwa. Sasa hapo mkikutana kwy age ya utu uzima mkapendana ina maana mmoja atakua hana true love?? Kwahiyo manatoa changamoto hiyo kwa wanaume vikongwe wakatafute vibint ambavyo ni bikra ambavyo kwa hali ya sasa ni kuanzia form II kushuka chini ambako ni primary, tunaelekea wapi sasa na hizo theory.......Makubwa tena sasa hayo!!
Napita tu!
.

Na hata hao uliowataja hakuna hiyo kitu ya kutoanza siku hizi, hujui kuna mitandao na tv hivyo majaribio ni mapema sio kama enzi za mwalimu!
 
kwamba mwanamke afaidie penzi la mwanaume ni yule wa mwisho kati ya wale aliowapitia huyo dume? kwamba mwanaume afaidie penzi la mwanamke ni yule wa kwanza kwa vile 'njia' itakuwa bado haijaiharibiwa? haya ni maneno kwenye 'signature' ya mkuu mmoja. guess who?
Jamani ngoja nitoe maelezo kidogo labda ntaeleweka mwanamke akipata mume aliefanya uhuni na kupendapenda na kuamua kutulia kapata mtu mzuri na mwanamme akipata mwanamke na kuwa wa kwanza kupendwa nae na asipolichezea penzi hilo ana uhakika wa kupata mke mzuri na pia ukizingatia wanawake ni waaminifu kwenye ndoa zaidi ya wanaume.

Minda you are definitely a man.... lazima mjifagilie....
Asha dear iliniuliza swali hili nikakujibu vizuri na ukaridhika mbona hujatoa ufafanuzi hapa kunisaidia ?
 
It is luck to be the last one! maana wengine wote wamepita wameshindwa hahaaa, wewe unamalizia.
 
Back
Top Bottom