Makubwa yaibuka wimbo wa Katika, Navy Kenzo ft Diamond.

Makubwa yaibuka wimbo wa Katika, Navy Kenzo ft Diamond.

Huyu jamaa kwa diamond mahaba kama yote cjui wanapeana nini
 
Mahaba inabidi yasizidi.. navy kenzo walishatusuaga zamani sana.. hata hii ngoma wangefanya wenyewe bila "dayamondi "ingetoka tuu ..
 
Wimbo huu ni mbaya sana wenye akili timamu tu ndio wanaweza kujua hilo.
 
Mbona sioni stats za before and after collab na chibu???
 
Nafikiri navy kenzo wewe labda ulkiua huwajui wale watu level zingine. Wametoboa kimataifa kitambo sio sababu ya wimbo wa katika
Hawafahamu,show za nje wanapiga sana hawa jamaa na wanajaza watu hatari!
 
Huu wimbo naelewa verse ya aika kuliko verse zote... Btw navy kenzo wametoka kitambo sana labda kama umewafahamu juzi
 
Mtoa mada acha mambo yako ya fesibuku na Instagram kuleta huku!!
 
Back
Top Bottom