Makubwa yaliyompata jamaa yangu

NIA YA THREAD.
1.UNAWEZAFANYA KITU UKAJIONA NI SIRI SANA LAKINI MUNGU AKAKIWEKA WAZI.
2.NI VEMA KUWA WAAMINIFU.
3.MKIKOSEA WOTE KWENYE NDOA USIMSUKUMIZIE MWENZIO KWA VILE WEWE NI MJANJA.
4.VITU,HALI,NA MAMBO YA INTERNET YANAWEZA KUWA TOFAUTI KABISA NA HALI HALISI.

nawasilisha mkuu.
 
mheshimiwa jaji (lawyer)kama huikubali nabadilisha lawyer sina imani na wewe,kwanza utasikilizaje shauri wakati GLASS YA POMBE IPO PEMBENI NAIONA? NABADLISHA LAWYER,AU NAKATA RUFAA.
Jaji mkuu ndiye aliyeninunulia hiyo bia iliyoisha hapo......
 
karibu mahakamani,mkuu wa upande wa walalamikaji je una sababu zozote za kuikataa?
 
kuna watu wana hoja za kitoto na ubishi wa ukoo/wa kurithi, yaani mtu kukubali kuchemsha si ni kawaida tu, ni nani asiyeshemsha katika hii dunia

Tall Heshima yako ni kubwa hebu mwombe Mode aifunge hii thread, na utuletee vitu vya ukweli
 
Jaji mkuu ndiye aliyeninunulia hiyo bia iliyoisha hapo......
Kama ni hivyo hapa haki haitendeki, ninakotaka kukata rufaa kumbe ndio kanunua bia ya lawyer?????? sasa niende wapi???? BASI NAOMBA NAMIMI NIKUNUNULIE PEPSI HALAFU MAMBO YAISHE......Please
 

Namkumbuka Abunuwas!
 
kuna watu wana hoja za kitoto na ubishi wa ukoo/wa kurithi, yaani mtu kukubali kuchemsha si ni kawaida tu, ni nani asiyeshemsha katika hii dunia

Tall Heshima yako ni kubwa hebu mwombe Mode aifunge hii thread, na utuletee vitu vya ukweli
angalau UMESEMA, ILA SINAUBISHI WA KITOTO WALA WA KURITHI. HATA MIMI NIMECHOKA NAYO...............MODS EEEEEH PLEASE CLOSE THIS MAANA SIJAFANYA KAZI TOKA SAA 4 ASUBUHI?????? PLEASE MODS CLOSE THIS
 
Mpwa hebu tafsiri kwa kiswahili hapo......
ngoja nimsaidie "sauti kama boski lililojaa vyura"

mmmh vitu vingine havina kiswaili chake halafu mie mwl wangu wa kidhungu alikufa wakati niko la 3B baada ya hapo ikawa ni full square root
 
namtangaza tall kama shujaa mkuu wa wiki hii maana ameweza kututea hoja mpaka imekubalika

tall hakuna mtu anayekuchukia wala usikonde topic yako imependwa sana ndio maana watu wanachangia halafu imekupa umaarufu mkubwa

nakutangaza kama swahiba wangu mkuu humu jf kula gwala (5)
 
Laaziz..........!!! Isije kuwa una simu mbili mpenzi wangu, halafu una gauni la bluu ambalo mimi silifahamu!!!

mie nayawezea wapi hayo mambo laaziz wangu, mie na wewe uaminifu ndio umetufikisha hapa tulipo! nilikumic laazizi wangu.
 
ubarikiwe
 

Kama ni mkewe wa ndoa na siku ya ahadi walitoka wote nyumbani asubuhi, jamaa alishindwa kujiuliza kwanini mke wangu amevaa nguo ya bluu leo wakati na ahadi na mtoto na atavaa nguo ya bluu,you should be very creative unapotaka kucheat
 


Mkuu mod ipeleke kwenye jukwaa la mambo ya kikubwa.
 
Kama ni mkewe wa ndoa na siku ya ahadi walitoka wote nyumbani asubuhi, jamaa alishindwa kujiuliza kwanini mke wangu amevaa nguo ya bluu leo wakati na ahadi na mtoto na atavaa nguo ya bluu,you should be very creative unapotaka kucheat
sio lazima muongozane na mkeo wakati mnaenda kazini,kama mke alichelewa kutoka home je??????
 
Mh kwa niwajuavyo baadhi ya kina baba yaani hapa kibao kinageuzwa kwa mama. Kwa nini amekubali kidate lol
 
Hiyo mbona inawezekana sana, hata mimi zamani nilikuwa na namba kibao za simu za kudanganyia mademu ambao sina mpango nao, naiweka tu ninapotaka kuongea naye, nikimaliza naitoa line. Akipiga akinikosa namwambia chochote km chaji iliisha nk. Najibu sms zake zote, maana hata kama simu imezimwa sms zinaingia unapoiwasha. Nataka mjue pia watu wengi wanaotafuta mademu mtandaoni hawatumii zile namba zao zinazojulikana, wanakuwa na ambazo wamezitenga kwa shughuli hiyo. Inawezekana pia mademu nao wanafanya hivyo. Kwa mtazamo huo, hii stori inawezekana ni kweli kabisa, yaani walikutana wale ambao kikwetu tunaita 'babenge babiri..' Yaani ngoma droo, waelewane tu yaishe.
 

lolo yamemkuta mwenzetu, ila anaweza kuikwepa hiyo kesi na kujifanya alienda pale kunywa soda tu, sasa mama nae anatakiwa kueleza pale alifata nini
 
Jamaa ametunga kudanganya watu wachangie, total nonsense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…