MAKUENI, KENYA: Omba omba sita kutoka Tanzania wakamatwa

Hao wanabebwa na kuwa exploited na wakenya wenzenu
 
Hao wanabebwa na kuwa exploited na wakenya wenzenu
 
Hiyo kitu imeanza kufanywa na wenyeji mkuu, miaka mingi past, kitambo, hao wabongo wameiga tu, na ndio scapegoat, who else would suit.
 
Sasa omba omba hapo ni nani?
Huyo mkenya aliewaleta kenya kwa ajiri ya kuwatumia kuomba au hao watanzania ambao wanatumwa kuomba? Kiuhalisia mkenya ndo omba omba anatafta watu kutoka sehemu ingine kuja kuomba ndo maana omba omba hawaishi huko kwenu kwa sababu nyinyi mnakumbatia wapuuz wenu wa kikenya wanaotumia watu kuomba
 
Hiyo kitu imeanza kufanywa na wenyeji mkuu, miaka mingi past, kitambo, hao wabongo wameiga tu, na ndio scapegoat, who else would suit.
Leta ushahidi wa haya madai yako. Kama ni wakenya, mbona wasiwatumie waganda, ama wakimbizi kutoka S.S na Somalia au hata wakenya wenzao? Huo mchezo ni Made in Tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…