MAKUENI, KENYA: Omba omba sita kutoka Tanzania wakamatwa

MAKUENI, KENYA: Omba omba sita kutoka Tanzania wakamatwa

Hao ni wakenya wanao jifanya watanzania
Kwahivyo walianza kwa kujifanya kwamba ni walemavu, alafu zaidi ya hiyo wakajifanya kwamba wao ni watanzania, ndani ya nchi yao?
bored-face-pictures-3.jpg
Interesting! Tell me more.
 
Hao wanabebwa na kuwa exploited na wakenya wenzenu
 
Hao wanabebwa na kuwa exploited na wakenya wenzenu
 
Hiyo kitu imeanza kufanywa na wenyeji mkuu, miaka mingi past, kitambo, hao wabongo wameiga tu, na ndio scapegoat, who else would suit.
 
Jameni maajirani mumekua kero kwa kweli, hivi mlilaaniwa au nini, huu uzembe mtauacha lini, maisha ya kuomba omba mbona sio dili. Njooni mchape kazi, mtusaidie kuzalisha kiuchumi, huu upumbavu acheni, nchi yote hadi Kenya mikoani wamejaa omba omba kutoka Tanzania, bure sana.
Kuna mataifa yametuzunguka ambao kwao wamepigana kwa zaidi ya miaka ishirini, lakini hutaona wakijaza raia wao kwenye barabara zetu wakiomba omba, wapo wanapiga kazi pamoja na sisi, tunachangia kuboresha nchi na kuishi pamoja.
Hii laana ya omba omba wa Tanzania hususan wa kutokea mji mkuu wa Tanzania kule Dodoma na pia Tanzania kati, maana Kaskazini wapo huku wanapiga mishe freshi tu, Wachagga kila siku tunapishana nao wanajituma kishenzi, wakiweza waanze kuwakemea ndugu zao hawa wazembe wa kutokea Tanzania kati wanaokuja kuwaharibia jina.
Sasa omba omba hapo ni nani?
Huyo mkenya aliewaleta kenya kwa ajiri ya kuwatumia kuomba au hao watanzania ambao wanatumwa kuomba? Kiuhalisia mkenya ndo omba omba anatafta watu kutoka sehemu ingine kuja kuomba ndo maana omba omba hawaishi huko kwenu kwa sababu nyinyi mnakumbatia wapuuz wenu wa kikenya wanaotumia watu kuomba
 
Hiyo kitu imeanza kufanywa na wenyeji mkuu, miaka mingi past, kitambo, hao wabongo wameiga tu, na ndio scapegoat, who else would suit.
Leta ushahidi wa haya madai yako. Kama ni wakenya, mbona wasiwatumie waganda, ama wakimbizi kutoka S.S na Somalia au hata wakenya wenzao? Huo mchezo ni Made in Tz.
 
Back
Top Bottom