MAKUENI, KENYA: Omba omba sita kutoka Tanzania wakamatwa

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
tanzanian-beggars.jpg

Baadhi yao walikuwa kwenye baiskeli maalum za walemavu lakini walipokamatwa na Askari wa Polisi walilisamama na kujaribu kuwatoroka Polisi

Kati yao Mwanaume ni mmoja na Wanawake 5 waliokuwa wamebeba Watoto mgongoni. Kamanda wa Polisi wa Makueni, Joseph Ole Napeiyan amesema watakaa rumande kupisha uchunguzi

Siku chache zilizopita Uongozi wa Serikali katika eneo la Migori uliitaka Serikali Kuu ya Kenya kuwaondoa omba omba kutoka Tanzania kwani wamekuwa kero

=======

Some of the suspects were on wheelchairs but when police got to them, they rose to their feet and tried to flee.

”When we went to arrest them, one of them took off on a motorcycle,” Makueni Police Commander Joseph Ole Napeiyan said.

”On further interrogation, we were able to determine that the six were from a neighboring country,” he added.

It is alleged that the six are are part of a group that was brought to Wote every morning and left in the streets to pose as beggars.

They include one man and five women, all of whom were carrying children.

The police boss said they will remain in custody to assist with investigations.

The incident comes days after Migori MCA Esther Onana urged the government to take action against beggars from Tanzania who she said are a menace in the county.

According to Ms. Onana, the beggars from Tanzania are tainting the reputation of people living with disability in Migori who do not begging on a street.

“We want the government of Kenya to repatriate the beggars from Tanzania urgently,” she said last week.

On her part, Mrs. Julie Minyoso who is the Migori county coordinator for the National council for People Living With Disability, urged locals to report cases of aliens on the street.

In 2017, Citizen TV aired an expose on beggars from Tanzania flooding Kenyan streets.

The report revealed that many of the beggars are lured to Kenya by able-bodied men who are the main beneficiaries.

The Tanzanian beggars would remain destitute despite years of donations from well-wishing Kenyans.

- Citizen Tv-
 
Wangeenda Kibera kuokoteza pamoja na wakenya wengine!
 
Tanzania nchi ya asali na maziwa[emoji23][emoji23]
 
Tanzania yateseka kutokana na kupakana na Kenya, majambazi toka Kenya ni tatizo kubwa sana.
 
Jameni maajirani mumekua kero kwa kweli, hivi mlilaaniwa au nini, huu uzembe mtauacha lini, maisha ya kuomba omba mbona sio dili. Njooni mchape kazi, mtusaidie kuzalisha kiuchumi, huu upumbavu acheni, nchi yote hadi Kenya mikoani wamejaa omba omba kutoka Tanzania, bure sana.
Kuna mataifa yametuzunguka ambao kwao wamepigana kwa zaidi ya miaka ishirini, lakini hutaona wakijaza raia wao kwenye barabara zetu wakiomba omba, wapo wanapiga kazi pamoja na sisi, tunachangia kuboresha nchi na kuishi pamoja.
Hii laana ya omba omba wa Tanzania hususan wa kutokea mji mkuu wa Tanzania kule Dodoma na pia Tanzania kati, maana Kaskazini wapo huku wanapiga mishe freshi tu, Wachagga kila siku tunapishana nao wanajituma kishenzi, wakiweza waanze kuwakemea ndugu zao hawa wazembe wa kutokea Tanzania kati wanaokuja kuwaharibia jina.
 
View attachment 1207899

Wakenya mnaona ombaomba wanachukua ajira zenu kama South Africa kwanini msiwaondoe wakaazi wa slum
 
Tanzania nchi ya asali na maziwa[emoji23][emoji23]
Tanzania tumeacha kusaidia ombaomba baada ya kugundua ni wasanii tafuta nyuzi hapa jf zinazo husu ombaomba utagundua unakuta ombaomba tajiri ananyumba hadi 3 Mke mzuri kila siku anaingiza laki 2 na nusu sasa sawa na Ksh 25000 jioni anaenda kuzihesabia baa
 
Jameni maajirani mumekua kero kwa kweli, hivi mlilaaniwa au nini, huu uzembe mtauacha lini, maisha ya kuomba omba mbona sio dili. Njooni mchape kazi, mtusaidie kuzalisha kiuchumi, huu upumbavu acheni, nchi yote hadi Kenya mikoani wamejaa omba omba kutoka Tanzania, bure sana.
Kuna mataifa yametuzunguka ambao kwao wamepigana kwa zaidi ya miaka ishirini, lakini hutaona wakijaza raia wao kwenye barabara zetu wakiomba omba, wapo wanapiga kazi pamoja na sisi, tunachangia kuboresha nchi na kuishi pamoja.
Hii laana ya omba omba wa Tanzania hususan wa kutokea mji mkuu wa Tanzania kule Dodoma na pia Tanzania kati, maana Kaskazini wapo huku wanapiga mishe freshi tu, Wachagga kila siku tunapishana nao wanajituma kishenzi, wakiweza waanze kuwakemea ndugu zao hawa wazembe wa kutokea Tanzania kati wanaokuja kuwaharibia jina.
Mbona Uhuru Kenyatta ndiyo baba yao,ombaomba mkuu baba wa ombaomba wote duniani
 
Mumekua kero hadi mnatia kinyaa kwa kweli, utakuta huu ushuzi mumepeleka hadi Afrika Kusin ndio maana watu huko wanafukuzwa na kutiwa viberiti... hebu ona video zenu hapa Kenya

Nimetazama video mpaka machozi yamenilenga. Hii dunia kuna watu wanataabika sana, yapasa tumshukuru Mungu kwa kila alichotujalia. Vile ambavyo hatukujaliwa hatutakiwi kulalamika maana kuna wengine wanakosa vingi na hawakumkosea Mungu kwa lolote
 
Kenyatta mwenyewe anazunguka duniani na bakuli kuomba omba kwa mabeberu ili aje awalishe wakenya wanaokufa njaa kwa kukosa chakula!

Usijisahaulishe. Kenyatta ni bingwa la maombaomba bara zima la Afrika!
 
View attachment 1207899

Baadhi yao walikuwa kwenye baiskeli maalum za walemavu lakini walipokamatwa na Askari wa Polisi walilisamama na kujaribu kuwatoroka Polisi

Kati yao Mwanaume ni mmoja na Wanawake 5 waliokuwa wamebeba Watoto mgongoni. Kamanda wa Polisi wa Makueni, Joseph Ole Napeiyan amesema watakaa rumande kupisha uchunguzi

Siku chache zilizopita Uongozi wa Serikali katika eneo la Migori uliitaka Serikali Kuu ya Kenya kuwaondoa omba omba kutoka Tanzania kwani wamekuwa kero

=======

Some of the suspects were on wheelchairs but when police got to them, they rose to their feet and tried to flee.

”When we went to arrest them, one of them took off on a motorcycle,” Makueni Police Commander Joseph Ole Napeiyan said.

”On further interrogation, we were able to determine that the six were from a neighboring country,” he added.

It is alleged that the six are are part of a group that was brought to Wote every morning and left in the streets to pose as beggars.

They include one man and five women, all of whom were carrying children.

The police boss said they will remain in custody to assist with investigations.

The incident comes days after Migori MCA Esther Onana urged the government to take action against beggars from Tanzania who she said are a menace in the county.

According to Ms. Onana, the beggars from Tanzania are tainting the reputation of people living with disability in Migori who do not begging on a street.

“We want the government of Kenya to repatriate the beggars from Tanzania urgently,” she said last week.

On her part, Mrs. Julie Minyoso who is the Migori county coordinator for the National council for People Living With Disability, urged locals to report cases of aliens on the street.

In 2017, Citizen TV aired an expose on beggars from Tanzania flooding Kenyan streets.

The report revealed that many of the beggars are lured to Kenya by able-bodied men who are the main beneficiaries.

The Tanzanian beggars would remain destitute despite years of donations from well-wishing Kenyans.

- Citizen Tv-
Sijui Nicheke? Ama nilie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom