Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Nashindwa Kui uplod video , ila inaitwa Makulusa nenda youtube utaikuta.Nyimbo tafadhali... mkuu
Ahsante sana mkuuu.... ngoja na mimi nikajiachie na utamu kutoka WCBNashindwa Kui uplod video , ila inaitwa Mafulusa nenda youtube utaikuta.
Nenda ukaicheki you tube unaitwa Makulusa kaimba Rayvanny amemshirikisha DJ MaphorisaWimbo wenyewe uko wapi jombaa?
Usisahau kuleta mrejeshoAhsante sana mkuuu.... ngoja na mimi nikajiachie na utamu kutoka WCB
si kosa lako.nyimbo mbaya sijapata ona
hiyo nyimbo ni mbaya inatia kichefuchefu....nimesikiliza nusu nikataka kutapikasi kosa lako.
Unaonekana unapenda miziki ya taarabu ndio maana hata jina lako linasadifu.
ππππππ kwa hiyo mkuu na jamaa aliyepost mmeachana njia pandanyimbo mbaya sijapata ona
Kaharishe kabisahiyo nyimbo ni mbaya inatia kichefuchefu....nimesikiliza nusu nikataka kutapika
Wimbo wakeHuu wimbo ni wake au kashirikishwa!!? Mbona kafichwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hajatoa bado.Yule muimba kaswida wako Wa wcb hajatoa nyimbo nyingine?