Makulusa ni nyooooko , jiwe la karne hili walahi

Makulusa ni nyooooko , jiwe la karne hili walahi

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Kwa hakika huyu bwana mdogo Rayvanny ni sheeeeda maana si kwa mikwaju hii walahi daaah.

Huu wimbo alio shirikiana na DJ Maphorisa ni nyooooka

Yaani huu wimbo hauchoshi kuusikiliza wala kuucheza.

Nautabiria utadumu sana miaka na miaka kwenye charts

Daah nina furaha isiyo na kifani


Kwanza video kali ,imepangiliwa kwa ustadi wa hali ya juu pia na mazingira waliyo chukulia video ni mazuri saana.


Big up sana V vanny boy

[HASHTAG]#Mafulusa[/HASHTAG] ndiyo habari ya mjini#

JamiiForums upload hiyo video
 
Hatari sana naona sasa wameanza kujielewa kutomtegemea laizer cz ndio alikuwa akiwaharibia nyimbo nyingi sana ,kutokana na kufanana kwa bit
 
Back
Top Bottom