Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,844
- 6,448
Ana nyota ya Mb Dogg ..kunenepa mpaka pua![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hajatoa bado.
Acha maneno weka ngoma hapaNashindwa Kui uplod video , ila inaitwa Makulusa nenda youtube utaikuta.
Angalia post no 13 ngoma imeshawekwa tayariAcha maneno weka ngoma hapa
Mkuu naomba mb zangu... Nakuja uko uko pm... Uku ni kumaliziana vocha... Nikajua wimbo wa maana kumbe ovyooHuu wimbo ni wake au kashirikishwa!!? Mbona kafichwa
Kali sana.Mmh ngoma kaliiiiii.....
We team kibakuli bila shakambayaaaaaaaaaaaaaa
We team kibakuli bila shaka
Lile bakuli la kariakoo halijui kituhata kiba kafanya vibaya kwenye nyimbo yake na ivyone
Kaua sana humu ila wasio jua nyimbo ndio hao wanao ponda.Huyu kujana kwa huu wimbo kaua sana. namtabiria makubwa sana
Acha wivu wa kike na lizer.Hatari sana naona sasa wameanza kujielewa kutomtegemea laizer cz ndio alikuwa akiwaharibia nyimbo nyingi sana ,kutokana na kufanana kwa bit