Makulusa ni nyooooko , jiwe la karne hili walahi

Makulusa ni nyooooko , jiwe la karne hili walahi

nyimbo mbaya balaa japokuwa hata sijaisikiliza [emoji13]
 
ngoma ni average japo naona kama rayvanny kamezwa sana kwenye ngoma yake mwnyewe maana karibia nusu na robo ya wimbo wameimba walioshirikishwa kuliko mwenyewe.....hlf vanny kwnye verse yake kaenda moja kwa moja kwenye melody za kinigeria.

Hivyo ndivyo nionavyo mimi...kama maksi ntampa 5/10
 
Tuache wivu wa kijinga kijana kawakilisha vyema!
 
Back
Top Bottom