Makulusa ni nyooooko , jiwe la karne hili walahi

Ule wimbo wa Mafikizolo na Harmonize ndio wimbo....Hizi kelele tupu.

Ila kwanini Madale huwa mnapenda vitu vibovu vibovu?!
 
Nyimbo mbaya.. sisi tunataka bongo flavor yetu.. hayo makwaito ya nini sasa..
 
JF imejaa wataalamu wa muziki wengi sana. Hii inatia moyo kwakweli, ni matumaini yangu hivi punde wakina Rihanna watakuja kuchukua ushauri huku.
 
Asante mnyakyusa mwenzangu kumfunika boss wako maana kachanganyikiwa kama rose mhando , anapata collabo na wasanii wakubwa lakini anaimba nyimbo mashairi hovyooo na mepesi kama sweta la Tiffa
 
kwa hiyo mnyakyusa mwenzako ndo kaimba mashairi mazito kama zege la expansion joints?!
 
Asante mnyakyusa mwenzangu kumfunika boss wako maana kachanganyikiwa kama rose mhando , anapata collabo na wasanii wakubwa lakini anaimba nyimbo mashairi hovyooo na mepesi kama sweta la Tiffa
Sikio haliwezi kuzidi kichwa hata siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…