Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu utakuwa na mimbahiyo nyimbo ni mbaya inatia kichefuchefu....nimesikiliza nusu nikataka kutapika
Huu wimbo sidhani kama alikuwa serious..Wimbo mzuri sema walioshirikishwa wameodominate sijui alikuwa na lengo gani
kwa hiyo mnyakyusa mwenzako ndo kaimba mashairi mazito kama zege la expansion joints?!Asante mnyakyusa mwenzangu kumfunika boss wako maana kachanganyikiwa kama rose mhando , anapata collabo na wasanii wakubwa lakini anaimba nyimbo mashairi hovyooo na mepesi kama sweta la Tiffa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kwa hiyo mnyakyusa mwenzako ndo kaimba mashairi mazito kama zege la expansion joints?!
Sikio haliwezi kuzidi kichwa hata siku moja.Asante mnyakyusa mwenzangu kumfunika boss wako maana kachanganyikiwa kama rose mhando , anapata collabo na wasanii wakubwa lakini anaimba nyimbo mashairi hovyooo na mepesi kama sweta la Tiffa
Laizer bhana sio raizerNaona beat maker sio raizer
Nyimbo tafadhali... mkuu