Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Polisi wenye silaha wadaiwa kuvamia ofisi za Taasisi ya Reachout Tanzania zilizopo maeneo ya Makumbusho jijini Dar es Salaam, wakidai kumtafuta Mwanasheria wao Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini. Polisi hao, wakiwa na sare na wengine hawana sare, walitishia kuvunja milango licha ya kuambiwa kuwa Lusako hayupo. CCTV camera za taasisi hiyo zimenasa tukio hilo.
Hii ni sauti inayosambaa mitandaoni inayodaiwa kuwa ni ya Lusako Alphonce, akiota taarifa za kuhofia kutekwa
Pia soma ~ Polisi wafafanua tukio la Wakili Lusako Alphonce kukikimbizwa na Polisi katika Ofisi za "Reachout Tanzania"
Hii ni sauti inayosambaa mitandaoni inayodaiwa kuwa ni ya Lusako Alphonce, akiota taarifa za kuhofia kutekwa