DOKEZO Makumbusho: Polisi wadaiwa kuvamia Ofisi za "Reachout Tanzania", wakidai kumtafuta Wakili Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini

DOKEZO Makumbusho: Polisi wadaiwa kuvamia Ofisi za "Reachout Tanzania", wakidai kumtafuta Wakili Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Jeshi tusiliingize kwenye hili jambo rahisi. Tuache ubinafsi.
Jeshi inabidi liingie kwa sababu. Njia za kijeshi ndio zitafanikiwa. Ccm wanaongoza nchi kwa njia za kijeshi, wizi wa kura na kuharibu uchaguzi huku wakisaidiwa na vyombo vya ulinzi na usalama hizo ni mbinu za kijeshi, kuzuia maandamano ya amani na yenyewe ni mbinu ya kijeshi. Njia za kiraia kama uchaguzi haziwezi kuwatoa ccm madarakani mbinu ya uhakika ya kuitoa ccm madarakani ni Mapinduzi ya kijeshi.
 
Ni upumbavu kutoa kauli za kijinga kama yako! Upinzani gani wakati mwenyewe umekaa kama zuzu huna unaloweza kufanya!
Wazia wafanyakazi wa Tanzania kuongezwa mishahara wanavyokuchukulia kama ni hisani ya Serikali kwao.

Walikaa kimya miaka mitano hawajapandishwa Madaraja Wala kuongezwa mishahara na wakaridhika.

Kilipokuja kikokotoo walifanya nini?
 
Sasa kwani uongo? Kwanini hawataki kuambiwa ukweli wa mambo ulivyo?
Masuala ya ukosefu wa ajira kwa vijana ni hoja ambayo ccm wanapambana kuizika. Maana vijana wasiokuwa na ajira ni wengi mno zaidi ya 85% hadi 95% ya vijana waliomaliza vyuo hawana ajira na ni tegemezi. Sasa idadi kubwa ya vijana wasiokuwa na ajira ni hatari kwa ccm wanaweza kuwaondoa ccm kwenye uchaguzi au hata maandamano makubwa sana mpaka ccm ikatoka madarakani, vijana wakaamua kuandamana mpaka ikulu kama maandamano ya Sri Lanka au Bangladesh. Ndio maana watu wanazoungumzia ukosefu wa ajira wanasakwa, anza kuhesabu Soka, Nondo.......
 
Chadema wameshambuliwa wapi?!..aliyeuawa mbeya ni chadema,nondo ni chadema,bonge wa kibaha ni chadema?!..msijipe umuhimu msiokua nao.

Wenye mamlaka Yao wanajua nguvu ya CHADEMA wewe huwezi kujua.

Yaani unataja aliyeuawa na wezi wa pikipiki? Bonge na Nondo.

Hapa tukiweka orodha ya wanachadema waliotekwa,kupigwa,kuuwa na kukamatwa na Polisi si tutajaza server za JF.

Jielimishe.
 
Masuala ya ukosefu wa ajira kwa vijana ni hoja ambayo ccm wanapambana kuizika. Maana vijana wasiokuwa na ajira ni wengi mno zaidi ya 85% hadi 95% ya vijana waliomaliza vyuo hawana ajira na ni tegemezi. Sasa idadi kubwa ya vijana wasiokuwa na ajira ni hatari kwa ccm wanaweza kuwaondoa ccm kwenye uchaguzi au hata maandamano makubwa sana mpaka ccm ikatoka madarakani, vijana wakaamua kuandamana mpaka ikulu kama maandamano ya Sri Lanka au Bangladesh. Ndio maana watu wanazoungumzia ukosefu wa ajira wanasakwa, anza kuhesabu Soka, Nondo.......
Sasa kwanini wanapingana na huo ukweli inamaana hawataki kuambiwa ukweli wanataka kusifiwa uongo?
 
Sawa twende si Samia kabakiza miezi 8 twende tutafika tu October 2025
Sadly, hatuna tunachoweza kufanya sisi Watanzania kwa sasa, na wao wanajua ndo maana uchafuzi umefanyika serikali za mitaa na hakuna kinachoendelea.

Hatma yetu ni kutamani siku moja Jeshi waingie mtaani tu lakini kisiasa hakuna tutachoweza kufanya hasa tukitegemea Viongozi ambao wanapewa Bahasha kisirisiri.
 
Sasa kwanini wanapingana na huo ukweli inamaana hawataki kuambiwa ukweli wanataka kusifiwa uongo?
Nikitumia hii akili ndogo sana niliyonayo 🤣 kiufupi ccm wanaiogopa hoja ya ukosefu wa ajira kwa vijana, kwa sababu ni hoja halisi na vijana wengi mno hawana ajira kuanzia wapinzani hadi vijana wa ccm hadi vijana wasio na vyama. Ccm washajiandaa kuiba uchaguzi wa 2025, hofu yao ni vijana wasiokuwa na ajira wakiamua kuandamana kama Kenya, Sri Lanka, Bangladesh. Ndio maana watu wanazoungumzia ukosefu wa ajira kwa vijana wanasakwa mno, pia wanapromote vitu vya ovyo kama miziki, mitandao, michezo, mipira, uchawa, misambwanda, bongofleva, bongomuvi ili vijana wawe bize na hivyo vitu wasahau juu ya ukosefu wa ajira 🤣🤣🤣
 
Ni ukweli unaousema sasa wao hao Chama A kwanini wanaogopa kuambiwa ukweli huo kuhusu suala la ajira? Of course yes majority vijana wengi hawana ajira sasa wao wakiambiwa hivyo si inabidi watafute ufumbuzi kwanini waogope kuambiwa ukweli?
 
Back
Top Bottom