Nikitumia hii akili ndogo sana niliyonayo 🤣 kiufupi ccm wanaiogopa hoja ya ukosefu wa ajira kwa vijana, kwa sababu ni hoja halisi na vijana wengi mno hawana ajira kuanzia wapinzani hadi vijana wa ccm hadi vijana wasio na vyama. Ccm washajiandaa kuiba uchaguzi wa 2025, hofu yao ni vijana wasiokuwa na ajira wakiamua kuandamana kama Kenya, Sri Lanka, Bangladesh. Ndio maana watu wanazoungumzia ukosefu wa ajira kwa vijana wanasakwa mno, pia wanapromote vitu vya ovyo kama miziki, mitandao, michezo, mipira, uchawa, misambwanda, bongofleva, bongomuvi ili vijana wawe bize na hivyo vitu wasahau juu ya ukosefu wa ajira 🤣🤣🤣