Ahahah,kwamba itakuwa nyara za serikaliKwa haya yanayoendea kuna siku "tutaambiwa ukitaka kufunga CCTV camera lazima upate kibali cha polisi"
Hakuna mbadala. Tunajitahidi. Mbowe,Zitto Kabwe sio mbadala ni same system.Unadhani wananchi ni wajinga kiasi kwamba hawaoni kuwa Kuna mbadala wa CCM?
Acha Maskhara bwana.
Daah tulipofikia kama ni nchi ni hatari na si salama tena.Polisi wenye silaha wadaiwa kuvamia ofisi za Taasisi ya Reachout Tanzania zilizopo maeneo ya Makumbusho jijini Dar es Salaam, wakidai kumtafuta Mwanasheria wao Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini. Polisi hao, wakiwa na sare na wengine hawana sare, walitishia kuvunja milango licha ya kuambiwa kuwa Lusako hayupo. CCTV camera za taasisi hiyo zimenasa tukio hilo.
View attachment 3169416
View attachment 3169418
Hii ni sauti inayosambaa mitandaoni inayodaiwa kuwa ni ya Lusako Alphonce, akiota taarifa za kuhofia kutekwa
View attachment 3169417
View attachment 3169538
View attachment 3169540
View attachment 3169541
Tunahitaji mambo mawili kabla ya uchaguzi 2025Watu watashinda hapa na pale. Ila kunahitajika mipango mikubwa, ya uhakika kuiondoa CCM madarakani. Sio mipango ya Zitto au Mbowe.
Siasa Ya chadema ya kijinga sana.Kama haitishwi na CHADEMA kwa nini ni CHADEMA tu ndiyo wanaoshambuliwa?
Umewahi kuona wanajishughulisha na CHAUMA au NRA?
Unatoa maelezo marefu wakati swali lilikuwa rahisi tu.Hakuna mbadala. Tunajitahidi. Mbowe,Zitto Kabwe sio mbadala ni same system.
Mbadala ni mtu kama Warioba, Butiku wakiongoza mageuzi. Kama Nyerere in 1950's. Sio hao wahuni wenu wakipewa bilioni, tano, kumi za ruzuku, viti maalumu moja wanampigia debe SSH.
Vyama vitajengwa huko mbele kwa mbele. Nguvu ya wananchi itasimama kwanza.
Kivipi?Siasa Ya chadema ya kijinga sana.
Matumizi ya akili madogo sana.
Uropokaji Mwingi sana.
Wewe ni CHAWA unayefaidika na CCM kuwepo madarakani !Kwasasa huna akili ya kuelewa chochote katika nchi hii!!Umejaa laana za watu ,Umejaa Damu za watu !Siasa Ya chade ma ya kijinga sana.
Matumizi ya akili madogo sana.
Uropokaji Mwingi sana.
Wanalamba asali mara, mbili kwa mweziJeshi limetekwa nyara kwa mishahara mikubwa
Kwanza tambua hivi chadema haiwezi kuitoa CCM madarakani. Chadema ni asilimia 15% ya Watanzania wa sasa.Unatoa maelezo marefu wakati swali lilikuwa rahisi tu.
Weka hiyo mipango mikubwa unayodhani CHADEMA wangefanya wangeitoa CCM madarakani.
Una mbwelambwela tu.
Haya ndiyo Maneno ya mwanachama wa chadema mwenye Nia ya mabadiliko.Wewe ni Malaya wa CCM na CHAWA huwezi kuelewa!
You are stupid Indeed you are stupid
Vijembe tu.Wewe ni CHAWA unayefaidika na CCM kuwepo madarakani !Kwasasa huna akili ya kuelewa chochote katika nchi hii!!Umejaa laana za watu ,Umejaa Damu za watu !
AAmini nakwambia Samia anaondoka by 2025!!
Sasa hivi wanatafutwa watu wote wenye akili, wale wenye akili ya kuhoji. Bila shaka wanataka nchi ibakie na machawa punguani.Polisi hawakufuati tu bila tatizo,kuna kitu lusako kafanya
swadaktaSwala la kutoa Chama kingine madarakani siyo swala la upinzani wenye nguvu, hilo ni jambo ni maamuzi ya watu wenye nguvu.
Nguvu ya upinzani inategemwa nguvu ya watu.
Hicho ndicho wanatakaKwa huu ushetani unaoende
A
Sasa hivi wanatafutwa watu wote wenye akili, wale wenye akili ya kuhoji. Bila shaka wanataka nchi ibakie na machawa punguani.
.
Wazalendo Hatuna chama. Hatuwezi kujiunga chama cha kikabila, kidini, kutukana watanzania maskini.Makabila mengine.
Kwenye uchaguzi HURU na Haki au kwenye haya mazingaombwe ya CCM?Mtapata kura 15% hadi mwisho wenu.