DOKEZO Makumbusho: Polisi wadaiwa kuvamia Ofisi za "Reachout Tanzania", wakidai kumtafuta Wakili Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini

DOKEZO Makumbusho: Polisi wadaiwa kuvamia Ofisi za "Reachout Tanzania", wakidai kumtafuta Wakili Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sasa unataka kusema uchaguzi ukiwa huru na haki matokeo ya chaguzi yatakuwa hivi hivi?

Yaani kila uchaguzi unajazwa mizengwe halafu unasema eti watanzania hawaoni mbdala wa CCM?
Watu watashinda hapa na pale. Ila kunahitajika mipango mikubwa, ya uhakika kuiondoa CCM madarakani. Sio mipango ya Zitto au Mbowe.
 
Kwa haya yanayoendea kuna siku "tutaambiwa ukitaka kufunga CCTV camera lazima upate kibali cha polisi"
Hahaha ni kweli, Huko nyima tuliambiwa tuwaache watoto wasome tusiwahusishe na siasa, na Serikali walikuwa wakali kweli.

Juzi nimeona CCM wanazindua matawi ya UVCC na kugawa kadi SAUT mwanza, eti tawi la kambarage.

Wakifanya hayo CHADEMA, hajaha hao hao UVCC na UWT wanatoka na matamko KULAANI.

CCM na vyombo vyao wanajijua wenyewe, wanavyofikiri.
 
Toa mfano mmojawapo wa hiyo mipango mikubwa.
Wananchi wote kuipinga CCM. Vijana, wazee, dini zote, makabila yote, vyama vyote na wasio na vyama.

Tunaweza kuanzisha movement mpya. Itapata kiongozi kama Bangladesh. Kiongozi kama Warioba, Chama kipya, katiba mpya, tume huru vyote vitatokea.
 
Watanzania ndiyo hawana nguvu msikimbilie kusema hakuna upinzani wenye nguvu.

Juzi Nondo katekwa hadharani nani alipambana kuzuia asitekwe?
🤣 acha ujinga wewe watu wanasiraha za moto we ungeweza kwenda..??
majeshi ya mitandaoni bhana yanaweza kukukoli mpk sehemu zisizo!
 
Si wako kazini? Umetuandikia so what? Kafanye mambo yako
Haya ndiyo mambo yake. Acha aandike maana kuandika kwenye mitandao ya kijamii ndiyo kazi yake.

Huu ushamba umejaa Sana CCM. Utasikia mtu anasema " kama maisha yamekushinda rudi kijijini" kama vile kila mtu kazaliwa kijijini.

Wengine ni ma -born town.
 
🤣 acha ujinga wewe watu wanasiraha za moto we ungeweza kwenda..??
majeshi ya mitandaoni bhana yanaweza kukukoli mpk sehemu zisizo!
Umesoma muktadha wa hoja? ACHENI kujiweka pembeni kazi kulaumu hao mnaowaita wapinzani.
 
Siasa kafanyeni huko, inajulikana siasa hamwezi, nyie mnaweza nini? Kulalamika? CCM imeshinda 99.8% mnatakq muone nini
Sasa miaka mitano iliyopita si walishinda hivyo hivyo? Mbona Kila uchaguzi wanaweweseshwa na CHADEMA "isiyoshinda" kwenye uchaguzi?
 
sometimes nawaza hao wajinga wenye mishahara ya sabuni,kwanini wana kuwaga mazuzu Sana.
nadhani yalilaaniwa. yalimgongea Bwana Yesu msalabani.

Yohana 19 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Basi ndipo Pilato alipomtwaa Yesu, akampiga mijeledi.
² Nao askari wakasokota taji ya miiba, wakamtia kichwani, wakamvika vazi la zambarau.
³ Wakawa wakimwendea, wakisema, Salamu! Mfalme wa Wayahudi! Wakampiga makofi.


²³ Nao askari walipomsulibisha Yesu, waliyatwaa mavazi yake, wakafanya mafungu manne, kwa kila askari fungu lake; na kanzu nayo. Basi kanzu ile haikushonwa, ilikuwa imefumwa yote pia tangu juu.
 
Back
Top Bottom