Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Utaifa haupiganiwi JF. Haki na Usawa ndiyo msingi wa utaifa.Mkuu umefanya nini hata hapa jamii forums kuonyesha hauko kikabila? Unapigania utaifa, Watanzania wote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaifa haupiganiwi JF. Haki na Usawa ndiyo msingi wa utaifa.Mkuu umefanya nini hata hapa jamii forums kuonyesha hauko kikabila? Unapigania utaifa, Watanzania wote?
Unapigania wapi taifa lako? Sera zako ni zipi kuwasaidia maskini au ni debe tupu.Utaifa haupiganiwi JF. Haki na Usawa ndiyo msingi wa utaifa.
Kila jambo huamuliwa Kwa wakati na mahali.Unapigania wapi taifa lako? Sera zako ni zipi kuwasaidia maskini au ni debe tupu.