Makundi AFCON 2025, Tanzania yapangwa Kundi C dhidi ya Nigeria, Tunisia na Uganda

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Kwasasa nchini Morocco kuna hafla ya upangaji wa makundi kwaajili ya michuano ya AFCON 2025.

Ungana nami kujua Tanzania tutapangwa na nani?

Tukio lipo mubashara Azamtv na DStv

=================================
 

Attachments

  • Snapinst.app_475266610_1198706665588538_7547226411361497258_n_1080.jpg
    230.9 KB · Views: 3
Dr Motsepe jamaa mpira wa afrika utamkumbuka ameleta tija sana kwa mpira wa afrika yeye na Karia hapa kwetu tutawakumbuka
Hakuna anaeweza thubutu kuuludisha nyuma mpira mkuu tunaenda kwenye enlightement period atakae kuja atafanya vizuri zaid mpka 2050 na tutakuwa kama ulaya sasa imagine ulaya itakuwaje
 
Mustapha Hadji, staa wa zamani wa Morocco ndio ameingia kuanza kuchezesha droo
 
Joseph Yobo, beki kisiki wa zamani wa Nigeria naye ni miongoni mwa jopo la kuchezesha droo
 
Hakuna anaeweza thubutu kuuludisha nyuma mpira mkuu tunaenda kwenye enlightement period atakae kuja atafanya vizuri zaid mpka 2050 na tutakuwa kama ulaya sasa imagine ulaya itakuwaje
Ulaya hao watu wako kwenye level Yao wenyewe si tupambane na level yetu hope kizazi Cha kina drogba nacho kikipewa kijiti kitajitahidi japo tayari etoo pale cameroun ameanza kuboronga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…