Makundi AFCON 2025, Tanzania yapangwa Kundi C dhidi ya Nigeria, Tunisia na Uganda

Makundi AFCON 2025, Tanzania yapangwa Kundi C dhidi ya Nigeria, Tunisia na Uganda

Finally safari hii Tanzania tunaenda kufuzu round ya pili.

Uganda tunampiga. Nigeria hawatishi tunaweza pata sare. Tunisia tuna sare au akikaa vibaya naye anapokea kichapo ili safari yetu iwe na uhakika zaidi. Hapo hatujaenda round ya mtoano?

Muhimu ratiba ipangwe vizuri kutufeva. Tuanze na Tunisia, halafu aje Nigeria tumalizie na wajukuu wa Museveni.
Tanzania kuanza mechi ya kwanza na Nigeria, halafu inakuja kucheza na Uganda na kumalizia na Tunisia.

Bado natafakari kama hiyo ratiba ni rafiki kwenye harakati zetu.
 
Back
Top Bottom