Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Wachezaji wa Africa walioenda ulaya watarudi Africa, kikikikiHakuna anaeweza thubutu kuuludisha nyuma mpira mkuu tunaenda kwenye enlightement period atakae kuja atafanya vizuri zaid mpka 2050 na tutakuwa kama ulaya sasa imagine ulaya itakuwaje
Youtube: Caf onlineNaangalizia wapi online???
Ndio nilikuwa nawaza nimemuona wapi huyu, angemleta na de caprioDjimon Hounsou, staa wa filamu ya Blood Diamond
Kundi limeanza kuwa gumuGroup C
Uganda
Tanzania
Majirani zetuKundi limeanza kuwa gumu
Majirani huwa wanatukamia sana hawana huruma hawaMajirani zetu
HatuwaweziMajirani huwa wanatukamia sana hawana huruma hawa