Finally safari hii Tanzania tunaenda kufuzu round ya pili.
Uganda tunampiga. Nigeria hawatishi tunaweza pata sare. Tunisia tuna sare au akikaa vibaya naye anapokea kichapo ili safari yetu iwe na uhakika zaidi. Hapo hatujaenda round ya mtoano?
Muhimu ratiba ipangwe vizuri kutufeva. Tuanze na Tunisia, halafu aje Nigeria tumalizie na wajukuu wa Museveni.