MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Hii ni orodha tukufu ya makundi yaliyoweka alama kwenye muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania. Nyimbo zao zikipigwa hadi leo zinasisimua.
1. Hard Blasters Crew (HBC)
Kundi liliundwa na Profesa Jay, Fanani na Big Willy. Albamu yao ya Funga Kazi itakumbukwa daima. Wimbo wao wa chemsha bongo ulitoka nikiwa darasa la 7.
2. GANGWE MOB
Inspekta Harun na Luteni Kalama waliunda hili kundi. Tukiwa vijana wadogo tulifurahia nyimbo zao.
3. GWM
Sikumbuki vizuri members wa hili kundi ila ninakumbuka lilitamba hata kabla ya kina Prof Jay. Mtaongezea nyama nyama hapa.
4. DAZ NUNDAZ
Hawa sio wa zamani sana ila nao waliwika. Ferooz, Daz Baba, Sajo na wengine ambao sikumbuki majina yao. Kamanda, Nipe 5, Hayaishi kunighasi na nyimbo nyingine kali zilipaisha kundi.
5. UNIQUE SISTERS
Liliundwa na mabinti wa Kipozi.
6. NAKO 2 NAKO
Bu Nako, Ibra da Hustla, G Nako na Lord Eyez. Naweza sema lilikuwa kundi bora zaidi kwa wakati wao. Wana nyimbo nyingi kali za Hiphop.
7. PARKLANE
C pwaa (R.I.P) na Suma lee walikiwasha mno.
8. WAGOSI WA KAYA
Mkoloni na mwenzake waliimba vitu vilivyokuwa vya muhimu sana kwa nchi.