Kumekuchaa! Heri ya Mwaka Mpya 2023.
Siku zinazidi kusonga mbele huku joto la kisiasa likizidi kupaa.
Za chini chini zinasema hivi kuna makundi matatu yanayoenda kutifuana huko mbele 2025.
A. Kundi A Hili ni lile la waliokuwa madadakani na sasa hawamo tena. Hili ni kundi la wafuasi wa Hayati Jpm. Ni kundi linaloamini siasa za jino kwa jino, weka ugoko niweke jiwe. Hawa ni wakorofi na wagomvi. Kwao hawajali wenzai wanaumia kiasi gani, ni akina kanyaga twende. Huku akiamini wanawatumikia wananchi wanyonge bila kujali athari za njia zao.
Kundi A, wanasema Abadani Kundi B lisipate nafasi kabisa, kwa wanaona ni bora kundi C lipate madaraka kuliko kundi B.
B, kundi B hili ni lile la wachache waliokuwepo madarakani baadae wakaondoka na sasa wako madarakani. Hili kundi linaamini katika hadaa. Wao ni mabingwa wa uongo. Watawadanganya watanzania kuwa wanawatumikia ili hali wanawaibia. Pesa nyingi wataazima kutoka nje ya nchi lakini kinachofanyika hakitaonekana. Kundi B hili halipendwi kabisa na Kundi A.
C. Hili kundi C ni wale waliokuwa hawajawahi kushika madaraka na wala huenda wasiyashike. Uzuri wa kundi C kwa sasa wanapendwa na kundi A na B.
Kundi A linasema ni bora kundi C kuliko hao mchwa wa kundi B. Wakati huo huo kundi B linasema bora tupate kuungwa mkono na Kundi C japo tugawane kidogo kilichopo lakini sio kuwaachia hawa watu wa weka ugoko niweke chuma.
Wakati kundi C lenyewe halijali nani anakuwa madarakani as long as anajali maendeleo, heshima kwa watanznia wote, aheshimu sheria, aweke mifumo ya kistaarabu including bunge huru, tume huru, mahakama huru wao hawajali sana kushika nyazifa kubwa.
Sasa nani anaenda kuambulia aibu.??
Kundi A linasema ngoja agombee 2025 ili aangukie pua maana hata pata kuungwa mkono.
Kundi B linasema abadani hatuwezi kurudishwa misri bora tuweke uwanja huru kila mtu achezi mziki wake.
Huu unaitwa vita vya panzi furaha kwa Kunguru na mwewe.
Nawatakia Haki, Amani na Maendeleo kwa mwaka mpya 2023.